-
Unyama wa Israel wa kuishambulia kijeshi Syria wakati huu wa maafa makubwa ya tetemeko la ardhi
Feb 20, 2023 04:42Alfajiri ya kuamkia jana Jumapili ya tarehe 19 Februari, utawala katili wa Kizayuni wa Israel uliushambulia tena kijeshi mji mkuu wa Syria, Damascus.
-
Faisal al-Miqdad: Shambulio la Israel kwenye maeneo ya raia ni uhalifu dhidi ya ubinadamu
Feb 20, 2023 04:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema: "Shambulio la makombora lililofanywa Jumapili asubuhi na utawala wa Kizayuni wa Israel katika maeneo ya raia ya Damascus na vitongoji vyake ni jinai dhidi ya binadamu."
-
Hizbullah: Vikwazo vya Marekani havina tofauti na vita vya kijeshi
Feb 19, 2023 22:53Mkuu wa Baraza Kuu la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema, vikwazo vya Marekani dhidi ya Lebanon na nchi zingine havina tofauti na vita vya kijeshi.
-
Jibu kali la Iran kwa taarifa ya pamoja ya US na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi
Feb 18, 2023 22:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametupilia mbali maelezo yaliyomo kwenye taarifa ya kikao cha tatu cha jopo kazi la pamoja la Marekani na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (GCC) kuhusu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, na kueleza kwamba kutolewa taarifa kama hiyo kunaendana na mkakati wa muda mrefu wa utawala wa Marekani wa kuzusha mfarakano kati ya nchi za eneo hili.
-
Ufafanuzi wa malengo ya maadui wa Muqawama katika hotuba ya Sayyid Nasrullah
Feb 18, 2023 07:21Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon juzi Februari 16, alieleza malengo ya maadui katika hotuba yake kwa mnasaba wa kumbukumbu ya makamanda wa harakati ya Muqawama waliouawa shahidi, Sheikh Ragheb Harb, Sayyid Abbas Mousawi na Haj Emad Mughniyeh.
-
Raia 53 wauawa katika shambulizi la 'magaidi wa ISIS' Syria
Feb 18, 2023 06:28Kwa akali watu 53 wameuawa katika shambulio linaloaminika kufanywa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Homs, magharibi mwa Syria.
-
Rasimu ya azimio la Umoja wa Mataifa yaitaka Israel kukomesha mara moja upanuzi wa vitongoji haramu
Feb 18, 2023 00:03Rasimu ya azimio jipya la Umoja wa Mataifa ambayo inasubiri kupigiwa kura inautaka utawala ghasibu wa Israel kukomesha haraka iwezekanavyo shughuli za upanuzi wa vitongoji vya walowezi katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.
-
Zaidi ya dazeni mbili za vyama vya Kiarabu vyataka kuondolewa haraka vikwazo dhidi ya Syria
Feb 18, 2023 00:02Zaidi ya dazeni mbili za vyama vya siasa vya Kiarabu vimetaka kuondolewa haraka vikwazo vyote vilivyowekwa na Marekani na washirika wake wa Magharibi dhidi ya Syria, hususan baada ya tetemeko kubwa la ardhi la 7.8 kwa kipimo cha Rishta lililoathiri maeneo ya kaskazini mwa Syria na nchi jirani ya Uturuki.
-
Walionusurika 'kimiujiza' kwenye zilzala ya Uturuki waendelea kupatikana, vifo vyakaribia 44,000
Feb 17, 2023 04:23Taarifa za uokokaji wa 'kimiujiza' zinaendelea kutolewa kutoka maeneo yaliyokumbwa na tetemeko la ardhi la Februari 6 katika nchi za Uturuki na Syria, huku watu wengine wanne wakitolewa wakiwa hai kwenye majengo yaliyoporomoka nchini Uturuki zikiwa zimepita zaidi ya siku 10 tokea lilipotokea tetemeko hilo.
-
Kukiri Waziri Mkuu wa zamani wa Israel kuhusu ugaidi wa kiserikali wa utawala huo dhidi ya Wapalestina
Feb 16, 2023 23:18Waziri Mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni amekiri kuwa aliwahi kutoa amri ya kupigwa risasi Wapalestina.