-
Wapalestina: Tutalipiza kisasi kwa jinai za Wazayuni kwa kuwafanya wasiishi kwa amani
Feb 16, 2023 07:24Kundi la Muqawama wa Palestina la 'Arin al Usud' (Pango la Simba) limewahutubu Wazayuni kwa kutangaza kwamba "tutajibu ubomoaji wa nyumba za Wapalestina Baitul Muqaddas kwa kuvuruga usalama wa wavamizi na walowezi wa Kizayuni katika kila pembe ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Mama, wanawe wawili wapatikana wakiwa hai chini ya kifusi siku 9 baada ya Zilzala, Uturuki
Feb 16, 2023 06:43Mama mmoja na watoto wake wawili wameokolewa katika mji wa Antakya kusini mwa Uturuki wakielezewa na timu ya uokoaji kuwa katika "hali nzuri" licha ya kukaa kwa siku tisa chini ya vifusi vya tetemeko kubwa la ardhi lililoikumba nchi hiyo na nchi jirani ya Syria.
-
Hamas yapongeza juhudi za Algeria na Afrika Kusini za kuifukuza Israel AU
Feb 16, 2023 04:27Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imepongeza juhudi zinazofanywa na nchi kama Afrika Kusini na Algeria za kuhakikisha utawala haramu wa Israel unapokonywa hadhi ya kuwa mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika (AU).
-
Kuhani wa Kizayuni afurahia vifo vya maelfu ya watu katika tetemeko la ardhi la Uturuki
Feb 14, 2023 23:00Kuhani mmoja wa Kizayuni ameonyesha furaha yake kutokana na vifo vya makumi ya maelfu ya watu katika tetemeko la ardhi nchini Uturuki.
-
Sheikh Isa Qasim: Aal Khalifa imedhamiria kuing'oa mizizi ya Uislamu Bahrain
Feb 14, 2023 23:00Sheikh Isa Qasim, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain ametangaza kuwa, utawala wa Aal Khalifa unafanya kila njia ili kuufuta Uislamu nchini humo.
-
Mapinduzi ya Netanyahu dhidi mfumo wa mahakama na uwezekano wa msambaratiko wa ndani
Feb 14, 2023 22:55Rais Isaac Herzog wa utawala haramu wa Israel amekiri kuwa, utawala huo unakaribia kusambaratika kisheria na kijamii.
-
Damascus: Kusimamisha kwa muda vikwazo vya Marekani dhidi ya Syria hakutoshi
Feb 14, 2023 07:23Mwakilishi wa Kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa kusimamishwa kwa upande mmoja na kwa muda baadhi ya vikwazo vya serikali ya Marekani dhdi ya Damascus hakutasadia kutondoa taathira hasi za muda mrefu za vikwazo hivyo.
-
Msemaji wa Hamas: Muqawama, ngao na upanga vitaendelea kuwa mtetezi wa Palestina
Feb 13, 2023 22:58Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amewapongeza wanamapambano wa Brigedi za Izzudin al Qassam kwa kukabiliana na chokochoko na mashambulizi ya karibuni ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza na kusisitiza kuwa, muqawama, ngao na upanga vitaendelea kuipigania Palestina.
-
Ahmed Aboul Gheit: Quds inakabiliwa na hatari ya kubadilishwa utambulisho
Feb 13, 2023 08:51Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ametahadharisha kuwa, mji wa Quds si tu kwamba, umekaliwa kwa mabavu na Wazayuni maghasibu bali eneo hilo takatifu linakabiliwa na hatari ya kubadilishwa utambulisho wa kihistoria, Kiislamu na Kikristo.
-
Jumuiya ya Maulamaa wa Muqawama yasisitiza kuondolewa haraka vikwazo dhidi ya Syria
Feb 13, 2023 08:19Jumuiya ya Maulamaa wa Muqawama imetoa taarifa ikisisitiza udharura wa kuondolewa haraka iwezekanavyo vikwazo dhidi ya Syria katika kipindi hiki ambacho nchi hiyo inahitajia misaada kutokana na kukumbwa na janga la tetemeko la ardhi.