-
Mshauri wa Bashar Assad: Vikwazo vya Magharibi vinatatiza utoaji wa misaada kwa waathiriwa wa tetemeko la ardhi
Feb 11, 2023 03:53Mshauri wa vyombo vya habari wa Rais wa Syria amesema: Kinachozidisha hali mbaya ya sasa kwa watu waliokumbwa na janga la tetemeko la ardhi ni vikwazo vya Marekani na Ulaya dhidi ya Syria.
-
Askari katili wa Israel wamewaua watoto tisa wa Kipalestina mwaka huu
Feb 10, 2023 22:52Wanajeshi katili wa utawala haramu wa Israel wamewapiga risasi na kuwaua Wapalestina 42 wakiwemo watoto tisa tangu mwanzoni mwa mwaka huu.
-
Hizbullah: Tupo tayari kuwasaidia waathirika wa tetemeko la ardhi Syria
Feb 10, 2023 03:27Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa ikisisitiza uungaji mkono wa pande zote wa muqawama wa Lebanon kwa waathiriwa wa tetemeko la ardhi huko Syria na kusisitiza kuwa itatumia suhula zake zote kuisaidia na kuihudumia serikali na wananchi wa Syria katika mazingira haya magumu baada ya zilzala.
-
Vikwazo na ugaidi; matatizo mawili yanayopelekea wahanga wa tetemeko la ardhi nchini Syria kutofikishiwa misaada ya kibinadamu
Feb 10, 2023 03:13Serikali ya Syria iko mbioni kuwafikishia misaada ya kibidanamu waathirika na wahanga wa tetemeko kubwa la ardhi lililotokea nchini humo hivi karibuni lakini pamoja na hayo inakabiliwa na vizuizi vikuu viwili ambavyo ni vikwazo na ugaidi na hivyo kufanya shughuli zake katika uwanja huo kuwa ngumu.
-
Duru mpya ya mazungumzo baina ya Iran na Saudia kufanyika hivi karibuni Baghdad, Iraq
Feb 09, 2023 22:56Waziri Mkuu wa Iraq ametangaza kuwa duru mpya ya mazungumzo kati ya Iran na Saudi Arabia itafanyika hivi karibuni mjini Baghdad.
-
Rais Assad: Marekani inazishinikiza nchi nyingi zisiwasaidie waathirika wa tetemeko la ardhi Syria
Feb 09, 2023 10:15Rais Bashar al-Assad wa Syria amefichua kuwa Marekani inatoa mashinikizo kwa nchi zinazotaka kuwasaidia waathirika wa tetemeko la ardhi nchini Syria. Assad ameyasema hayo katika mkutano na ujumbe wa mawaziri kadhaa wa Lebanon.
-
Mashirika ya kutetea haki za binadamu yaitaka Morocco kutomrejesha Saudia mwanaharakati wa nchi hiyo
Feb 09, 2023 04:29Baadhi ya mashirika ya kutetea haki za binadamu yamemtaka Waziri Mkuu wa Morocco kutomrudisha nchini kwake mwanaharakati wa Saudia, Hassan al-Rabea.
-
Damascus yakosoa utendaji dhaifu wa UN katika kuwasaidia wahanga wa tetemeko la ardhi
Feb 09, 2023 04:28Mkurugenzi wa Shirika la Huduma za Kiraia na Misaada la Syria amekosoa utendaji wa Umoja wa Mataifa katika kuwasaidia wahanga wa tetemeko la ardhi na kutangaza kwamba maelfu ya familia za Syria wamepoteza makazi na nyumba zao kutokana na janga hilo.
-
Tangazo la uwepo wa "Bunge la Hijaz", hatua ya kukabiliana na vita vya Bin Salman dhidi ya Uislamu
Feb 08, 2023 08:52Wanaharakati wa Saudia wameanzisha Bunge la Hijaz ili kukabiliana na njama za Aal Saud dhidi ya matukufu ya Kiislamu katika ardhi ya Hijaz na kutetea maeneo matakatifu ya Waislamu.
-
Wapalestina 42 wameuawa shahidi tangu kuanza mwaka huu wa 2023
Feb 08, 2023 04:16Kwa akali Wapalestina 42 wameuawa shahidi na jeshi la utawala haramu wa Israel tangu kuanza mwaka huu wa 2023.