-
Harakati ya HAMAS yaonya kuhusiana na njama za Wazayuni za kubomoa msikiti wa al-Aqswa
Feb 08, 2023 04:14Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeonya kuhusiana na njama za Wazayunii za kutaka kuubomoa msikiti wa al-Aqswa kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Magaidi karibu ya 20 wa Daesh wametoroka jela Syria kufuatia tetemeko la ardhi
Feb 07, 2023 08:31Takriban magaidi wa Daesh 20 waliokuwa wamefungwa jela katika gereza moja nchini Syria jana walitoroka baada ya kufanya uasi kufuatia tetemeko la ardhi lililoikumba nchi hiyo na Uturuki jana asubuhi.
-
Syria: Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani vinazidisha maafa ya tetemeko la ardhi
Feb 07, 2023 03:43Kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea kaskazini ya Syria, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo amesema, athari za vikwazo vya upande mmoja vya Marekani zinaongeza maafa ya janga hilo la kimaumbile.
-
Mgogoro wa wizi wa silaha jeshi unazidi kuutesa utawala wa Kizayuni
Feb 06, 2023 22:54Taasisi ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni imeingia kwenye mwaka mpya wa 2023 ikilemewa na migogoro chungu nzima ya ndani na nje ya utawala huo. Mgogoro wa wizi ndani ya kambi na vituo nyeti vya kijeshi vya Israel bado unaendelea kuutesa utawala huo wa kigaidi.
-
Kumbukumbu ya miaka 20 ya uongo mkubwa wa Marekani kuhalalisha shambulio dhidi ya Iraqi
Feb 06, 2023 09:34Miaka 20 iliyopita yaani Februari 5, 2003, Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani alishiriki katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mjini New York na kuonyesha bomba la majaribio lililokuwa na mada za kimeta na kudai kuwa ni ushahidi wa kuwepo silaha za maangamizi ya umati nchini Iraq.
-
Waziri wa zamani wa Qatar: Kuanzisha uhusiano na Israel hakutakuwa na faida kwa wananchi wa Sudan
Feb 06, 2023 07:46Waziri Mkuu wa zamani wa Qatar amekosoa vikali hatua ya serikali ya sasa ya Sudan ya kujipendekeza kwa utawala haramu wa Israel na kueleza kwamba, hatua ya Khartoum ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel haitakuwa na faida yoyote kwa wananchi wa Sudan.
-
Mzingiro wa Saudia unahatarisha maisha ya watoto 3,000 Yemen
Feb 06, 2023 04:29Vita vya Saudia dhidi ya Yemen na mzingiro mkali dhid ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu vinaweza kusababisha vifo vya maelfu ya watoto wanaougua saratani, shirika la kutetea haki za binadamu la Yemen limeonya.
-
Kamati ya Maulamaa Palestina: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel ni jinai dhidi ya taifa la Palestina
Feb 05, 2023 23:13Kamati ya Maulamaa wa Palestina imetangaza kuwa, kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel ni jinai dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Wanaharakati watoa mwito wa kuachiliwa huru wafungwa wa kisiasa Bahrain
Feb 05, 2023 23:12Wanaharakati wengi na watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Bahrain wametoa mwito wa kuachiliwa huru wafungwa wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Mabomu ya kutegwa ardhini, mabomu ya vishada na wahanga wa Yemen
Feb 05, 2023 23:12Wananchi wa Yemen wanaokabiliwa na mashambulizi ya Saudi Arabia, sasa wamekuwa wahanga wa mabomu ya kutegwa ardhini silaha zilizoachwa nyuma na wavamizi hao.