-
Walowezi wa Kizayuni wavunja rekodi katika hujuma dhidi ya Msikiti wa al-Aqsa
Dec 30, 2022 04:28Shirika la Kiislamu linalosimamia masuala ya Msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) linasema kwamba idadi kubwa ya walowezi wa Kizayuni wa Israel walivamia eneo hilo takatifu la Kiislamu mwaka 2022.
-
Mfalme wa Jordan aonya: Intifadha mpya ya Wapalestina inanukia
Dec 29, 2022 23:05Mfalme wa Jordan ameonya kuhusiana na hatua za utawala haramu za Israel za kushadidisha mivutano na jinai dhidi ya Wapalestina na kueleza kuwa, jinai hizo huenda zikapelekea kuibuka Intifadha mpya ya Wapalestina.
-
Kuweko utumwa mamboleo nchini Saudi Arabia
Dec 29, 2022 09:47Gazeti la Times la Uingereza limeripoti kuwa, utumwa mamboleo ungalipo nchini Saudi Arabia licha ya maonyo ya asasi na jumuiya za kimataifa.
-
Haniya: Wapalestina watashadidisha mapambano dhidi ya ujenzi haramu wa Israel
Dec 29, 2022 09:06Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameionya Israel dhidi ya sera yake ya unyakuzi wa ardhi na kusisitiza kuwa, ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni utakabiliwa kwa nguvu kupitia muqawama.
-
Hamas: Maneva ya al Rakan al Shadid 3 ni dhihirisho la nguvu ya muqawama
Dec 29, 2022 04:39Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa maneva ya al Rakan al Shadid 3 yanayonesha nguvu ya muqawama.
-
Israel yakiri kuwa wazayuni 29 wameangamizwa katika mwaka unaomalizika wa 2022
Dec 28, 2022 08:13Idara ya usalama wa ndani ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Shabak imekiri kuwa, Wazayuni 29 waliuawa katika operesheni za mashambulizi zilizofanywa na Wapalestina katika mwaka huu unaomalizika wa 2022.
-
Bunge la Oman: Kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel ni uhalifu
Dec 28, 2022 05:08Baraza la Ushauri la Oman limeikabidhi Kamati wa Kutunga Sheria na Kulinda Haki ya nchi hiyo; muswada wa marekebisho ya kifungu cha 10 cha sheria ya kuharamisha na kupiga marufuku kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel ili upasishwe rasmi.
-
Shtayyeh: Wapalestina 220 wameuawa shahidi mwaka huu wa 2022
Dec 28, 2022 04:33Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema: Tangu mwanzoni mwa mwaka huu utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua shahidi Wapalestina zaidi ya 220 katika maeneo tofauti ya Palestina.
-
Baraza la Usalama la UN litoa wito wa kushirikishwa kikamilifu wanawake nchini Afghanistan
Dec 28, 2022 04:32Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeelezea wasiwasi wake juu ya uamuzi wa Taliban wa kuwazuia wanawake kuhudhuria masomo katika vyuo vikuu na kutoa wito wa ushirikishwa kamili na kwa dhati wanawake na wasichana nchini Afghanistan.
-
Shirika la kutetea haki za binadamu laonya, Saudia inawanyonga wafungwa kwa sababu za kiitikadi
Dec 28, 2022 04:32Shirika la kutetea haki za binadamu la Sanad limetangaza kuwa limepokea taarifa zinazoonyesha nia ya Saudi Arabia ya kutekeleza hukumu za kifo kwa idadi ya wafungwa wa itikadi na wanajeshi.