-
Shirika la UNICEF: Watoto wa Gaza wamesahauliwa na jamii na kimataifa
Jan 14, 2026 08:17Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, jamii ya imewasahau watoto wa Gaza ambao wanataabika na kuteteseka kutokana na kukabiliwa na hali mbaya ya kibinadamu na ukatili wa kutisha.
-
Qatar: Tunawasiliana ili kutatua tofauti kati ya Marekani na Iran
Jan 13, 2026 23:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar ametangaza kuwa, Doha inafanya mawasiliano na pande mbalimbali ili kutuliza hali katika eneo hili na kutatua tofauti kati ya Iran na Marekani.
-
Wanasiasa wa Pakistan: Ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kusimama pamoja na Iran
Jan 13, 2026 23:11Wanasiasa mbalimbali wa Pakistan wamesisitiza kuwa, ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kuwa upande wa Iran katika mazingira ya sasa ambapo taifa hili la Kiislamu linaandamwa kwa njama mbalimbali.
-
Jihad Islami ya Palestina: Muqawama hauwezi kutokomezwa
Jan 13, 2026 03:11Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad ya Kiislamu ya Palestina amesisitiza katika taarifa yake kwamba Muqawama na mapambano ya ukombozi wa Palestina ni sehemu muhimu ya taifa la Palestina na hayawezi kutokomezwa au kuangamizwa.
-
Balozi wa Uingereza Tehran akabidhiwa malalamiko baada ya wahuni kuvamia ubalozi wa Iran London
Jan 12, 2026 06:38Iran imemwita Balozi wa Uingereza mjini Tehran, Hugo Shorter, kufuatia shambulio dhidi ya ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu huko London na kitendo cha kuondolewa kwa bendera rasmi ya nchi.
-
Ripoti: Israel inapanga kuanzisha mashambulizi mapya dhidi ya Ghaza ifikapo mwezi Machi
Jan 12, 2026 02:32Gazeti la Kizayuni la Times of Israel limeripoti kuwa, jeshi la utawala haramu wa Israel linapanga kuanzisha mashambulizi mapya dhidi ya Ukanda wa Ghaza ifikapo mwezi Machi ili kunyakua ardhi zaidi za eneo hilo na kuusukuma Mstari wa Njano kuelekea magharibi zaidi upande wa pwani ya eneo hilo.
-
Kiongozi wa upinzani Bahrain ahukumiwa kifungo jela, atozwa faini kwa kuikosoa Israel
Jan 12, 2026 02:32Wanaharakati nchini Bahrain wameelezea wasiwasi walionao kuhusu hatima ya kiongozi wa upinzani Ebrahim Sharif baada ya kuhukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kukosoa uhusiano wa utawala wa kifalme wa nchi hiyo na utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Walowezi wanatumia watoto kusumbua jamii za Wapalestina Ukingo wa Magharibi
Jan 11, 2026 07:25Walowezi wa Kizayuni mara kwa mara wanatumia vikundi vya watoto wa Kizayuni kuzisumbua na kuzifanyia maudhi jamii za Wapalestina na kuharibu maeneo yao ya kilimo katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu na Wazayuni hao.
-
Mashambulizi ya Wazayuni dhidi ya Msikiti wa al Aqsa yaliongezeka sana mwaka 2025
Jan 10, 2026 03:12Duru za Palestina zimeripoti kwamba mashambulizi ya walowezi wa Kizayuni dhidi ya Msikiti wa al Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuvunjia heshima eneo hilo takatifu yaliongezeka kwa kiwango kikubwa katika mwaka uliomalizika majuzi wa 2025 na kwamba mashambulizi hayo yaliandamana na ujumbe wa kisiasa na kidini.
-
Hamas yatahadharisha, Israel itasambaratisha makubaliano ya kusimamisha vita
Jan 10, 2026 02:08Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa taarifa ikizungumzia ukiukaji wa makubaliano ya kusitisha vita Ukanda wa Gaza unaofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel na kutahadharisha kuwa makubaliano hayo yako kwenye ukingo wa kusambaratika.