-
Utawala katili wa Kizayuni washambulia kwa makombora katikati ya Ukanda wa Gaza
Nov 04, 2022 04:20Ndege za kivita za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zimeshambulia kwa makombora zaidi ya kumi kituo cha wanamapambano wa Muqawama wa Palestina katikati ya Ukanda wa Gaza.
-
Makampuni ya Oman na Kuwait yajiondoa kwenye maonyesho ya Bahrain kuisusia Israel
Nov 04, 2022 03:14Shirika la ndege la bei nafuu la Oman na Benki ya Kiislamu ya Kuwait zimeamua kujiondoa katika maonyesho yajayo ya Kimataifa ya Anga ya Bahrain (BIAS) baada ya kubaini wajumbe kutoka makampuni ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel watashiriki katika maonyesho hayo, ikiwa ni hatua ya kuonyesha mshikamano na uungaji mkono kwa Palestina.
-
Saudi Arabia yatakiwa ikomeshe vitendo vya kuwanyonga kiholela wapinzani
Nov 03, 2022 22:54Jumuiya na mashirika mbalimbali ya kutetea haki za binadamu yameelezea wasiwasi mkubwa yaliyonao kutokana na kuongezeka mno hatua za utawala wa Saudi Arabia za kuwanyonga kiholela wapinzani.
-
Sheikh Isa Qassim: Uchaguzi ujao unalenga kuimarisha udikteta Bahrain
Nov 03, 2022 22:54Kiongozi mashuhuri wa kidini nchini Bahrain amesema uchaguzi ujao wa Bunge nchini humo hauna lengo jingine isipokuwa kuimarisha mienendo ya kiimla na kidikteta ya watawala wa Aal-Khalifa.
-
HAMAS: Wapalestina wataendeleza mapambano ya ukombozi
Nov 03, 2022 08:10Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema wananchi wa Palestina wataendeleza kwa nguvu zote jitihada na mapambano ya kulikomboa kikamilifu taifa lao kutoka kwenye makucha ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu yasisitiza kuunga mkono haki za Wapalestina
Nov 02, 2022 10:10Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imesisitiza kuendelea kutetea na kuuunga mkono haki za wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Walebanon wataka kutimuliwa balozi wa Saudi Arabia mjini Beirut
Nov 02, 2022 10:09Wananchi wa Lebanon wametoa mwito wa kutimuliwa nchini humo balozi wa Saudi Arabia wakimtuhumu kwamba, amekuwa akiingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.
-
Uchaguzi wa tano wa bunge la Israel katika muda wa chini ya miaka minne
Nov 02, 2022 04:50Uchaguzi wa tano wa bunge la Israel katika muda wa chini ya miaka minne ulifanyika jana Jumanne tarehe 1 Novemba.
-
Ukiukwaji wa haki za binadamu; ombi la makundi ya kutetea haki za binadamu kwa Papa
Nov 02, 2022 04:35Taasisi 9 za kutetea haki za binadamu zimetangaza kuwa, Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani akiwa ziarani huko Bahrain anapasa kutoa wito kwa watawala wa nchi hiyo ili wakomeshe hatua zao za kukiuka haki za binadamu.
-
Qatar yataka kuhitimishwa ukaliaji mabavu wa utawala wa Kizayuni
Nov 02, 2022 04:29Mwakilishi wa Kudumu wa Qatar katika Umoja wa Mataifa leo asubuhi amehutubia katika kikao cha kiduru cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusema: Israel inapasa kuhitimisha hatua zake za kuzikalia kwa mabavu ardhi za Waarabu ikiwemo miinuko ya Golan huko Syria, ardhi za Lebanon na Palestina.