-
Qatar yataka kuhitimishwa ukaliaji mabavu wa utawala wa Kizayuni
Nov 02, 2022 04:29Mwakilishi wa Kudumu wa Qatar katika Umoja wa Mataifa leo asubuhi amehutubia katika kikao cha kiduru cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusema: Israel inapasa kuhitimisha hatua zake za kuzikalia kwa mabavu ardhi za Waarabu ikiwemo miinuko ya Golan huko Syria, ardhi za Lebanon na Palestina.
-
Ulazima wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kujiunga na mkataba wa NPT
Nov 01, 2022 22:53Kamati ya Kwanza ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imepasisha kwa wingi wa kura muswada wa Misri unaoelezea ulazima wa utawala haramu wa Israel kujiunga na Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji na Usambazaji wa Silaha za Atomiki (NPT).
-
Watu 53 wasubiri kunyongwa kwa umati Saudia, Magharibi kimya! + VIDEO
Nov 01, 2022 07:47Nchi za Magharibi zimeendelea kunyamazia kimya taarifa kuwa Saudi Arabia imepanga kuwanyonga kwa umati watu 53 nchini humo. Kwa uchache wanane kati ya watu hao ni watoto wadogo.
-
Kwa mara nyingine Yemen yawaonya wavamizi wasipore utajiri wa nchi hiyo
Nov 01, 2022 07:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen yenye makao yake makuu mjini San'a amezionya nchi vamizi ziache kupora utajiri wa nchi hiyo.
-
Saudia yalaumiwa vikali kuruhusu tamasha la Halloween na kuvunja heshima ya Haramaini
Nov 01, 2022 03:38Kusambazwa picha za tamasha la kishetani la "Halloween" katika mji mkuu wa Saudi Arabia Riyadh kwa usaidizi na uungaji mkono wa Bodi ya Burudani ya nchi hiyo kumeibua wimbi la hasira kali na kauli za kejeli kwenye mitandao ya kijamii.
-
Raia wengine 15 wakiwemo watoto 8 wahukumiwa kunyongwa nchini Saudi Arabia
Oct 31, 2022 22:59Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Kisaudia lenye makao yake barani Ulaya limefichua kuwa, viongozi wa Riyadh wamewahukumu adhabu ya kunyongwa wafungwa 15 wa kisiasa wakiwemo watoto kadhaa wadogo.
-
HRW: Utawala wa Bahrain unatumia sheria za kuwatenga kisiasa wapinzani
Oct 31, 2022 22:58Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, utawala wa Bahrain unatumia sheria za kuwatenga kisiasa wapinzani.
-
Mageuzi ya Bin Salman huko Saudi Arabia ni ya uongo na bandia
Oct 31, 2022 08:12"Rima bint Bandar Al Saud", balozi wa Saudi Arabia nchini Marekani, alitangaza karibuni katika mahojiano na CNN, kwamba mageuzi ya Saudi Arabia ni ya kweli na kwamba ufalme huo umechukua hatua katika miaka mitano iliyopita ambayo ilikuwa haijafanyika katika miaka 80 iliyopita
-
Jukumu lililosahauliwa la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Palestina
Oct 31, 2022 00:46Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limefanya kikao mara mbili asubuhi na jioni kujadili matukio mapya yanayojiri Palestina.
-
Hamas: Risasi za wanamapambano wa Palestina ni jibu kwa vitendo kwa jinai za Israel
Oct 30, 2022 09:31Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imesema kuwa, risasi zilizopigwa na wapiganaji ukombozi wa Palestina katika operesheni ya kulipiza kisasi karibu na makazi haramu ya walowezi katika eneo la kusini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ni jibu la kivitendo kwa jinai zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Wapalestina.