-
Mageuzi ya Bin Salman huko Saudi Arabia ni ya uongo na bandia
Oct 31, 2022 08:12"Rima bint Bandar Al Saud", balozi wa Saudi Arabia nchini Marekani, alitangaza karibuni katika mahojiano na CNN, kwamba mageuzi ya Saudi Arabia ni ya kweli na kwamba ufalme huo umechukua hatua katika miaka mitano iliyopita ambayo ilikuwa haijafanyika katika miaka 80 iliyopita
-
Jukumu lililosahauliwa la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Palestina
Oct 31, 2022 00:46Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limefanya kikao mara mbili asubuhi na jioni kujadili matukio mapya yanayojiri Palestina.
-
Hamas: Risasi za wanamapambano wa Palestina ni jibu kwa vitendo kwa jinai za Israel
Oct 30, 2022 09:31Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imesema kuwa, risasi zilizopigwa na wapiganaji ukombozi wa Palestina katika operesheni ya kulipiza kisasi karibu na makazi haramu ya walowezi katika eneo la kusini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ni jibu la kivitendo kwa jinai zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Kushamiri kuwepo kijeshi Wazayuni kusini mwa Yemen; njama iliyoandaliwa na Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE)
Oct 30, 2022 06:12Wakati hali ya mchafukoge wa kisiasa kusini mwa Yemen ikiwa imefikia kiwango cha juu huku serikali tegemezi na kibaraka iliyoko huko ikiwa haina mamlaka yoyote ya uendeshaji wa mambo yake, katika njama iliyoratibiwa na Muungano wa Falme za Kiarabu Imarati, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeshamirisha kuwepo kwake kijeshi katika eneo hilo la kusini mwa Yemen.
-
Wanamapambano wa Palestina: Adui hajui isipokuwa lugha ya mabavu
Oct 30, 2022 04:34Makundi ya muqawama wa Palestina yamepongeza operesheni ya wanamapambano wa Kipalestina katika mji wa al Khalil huko Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kusisitiza udharura wa kuendelezwa mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wakisema, utawala huo hauelewi isipokuwa lugha ya mabavu.
-
Kundi la 'Arin al Usud laapa kuendelea na muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 29, 2022 23:01Kundi la mapambano ya Kiislamu la 'Arin al Usud (Pango la Simba) linaloendesha mapambano yake katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina limesisitiza kuwa, watu wanaodhani kuwa muqawama umeshindwa, wanajidanganya.
-
Maelfu ya Wairaq wamekimbia nchi yao katika kipindi cha miezi 10 iliyopita
Oct 29, 2022 23:00Mkuu wa Kamisheni ya Wakimbizi ya Umoja wa Mataifa nchini Iraq na eneo la Kurdistan la nchi hiyoi jana (Jumamosi) alifichua kuwa, katika kipindi cha miezi 10 iliyopita, karibu Wairaqi 75,000 wamekimbilia nje ya nchi hiyo.
-
Russia: Marekani na Ulaya zinataka kuwafanya walimwengu waghafilike na kadhia ya Palestina
Oct 29, 2022 04:06Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Marekani na Ulaya ndio wahusika wakuu wa kushadidi mgogoro wa Palestina.
-
Watoto 46 wa Kipalestina wameuawa shahidi na Israel tangu kuanza mwaka huu
Oct 29, 2022 04:04Jeshi la utawala haramu wa Israel limewauwa shahidi watoto 46 wa Kiipalestina tangu kuanza mwaka huu wa 2022.
-
HAMAS, Jihad Islami na Yemen zalaani shambulio la kigaidi nchini Iran
Oct 29, 2022 00:51Harakati za Muqawama wa Kiislamu za Palestina na mamlaka za Yemen zimetoa taarifa za kulaani shambulio la kigaidi lililotokea siku ya Jumatano katika Haram Tukufu ya Shah Cheragh ya mjini Shiraz, kusini magharibi mwa Iran.