-
ICC yatakiwa iizuie Israel kuwafukuza Wapalestina kwenye makazi yao
Oct 08, 2022 07:40Kituo cha Haki za Binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) cha B'Tselem kimeiandikia barua Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kikiitaka iingilie kati na isimamishe mpango wa utawala wa Kizayuni wa kutaka kuwafurusha maelfu ya Wapalestina kwenye makazi yao.
-
Maadhimisho ya mwaka wa 35 tangu kuasisiwa harakati ya Jihad Islami ya Palestina; kuwa imara katika njia ya muqawama
Oct 08, 2022 07:21Sherehe za maadhimisho ya mwaka wa 35 tangu kuasisiwa harakati ya Jihad Islami ya Palestina zimefanyika huko Ghaza, katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, Lebanon na Syria.
-
Jeshi la Iraq lamwangamiza kiongozi mwingine muhimu wa genge la kigaidi la ISIS
Oct 07, 2022 22:51Kitengo cha upashaji habari cha vikosi vya ulinzi vya Iraq kimetangaza habari ya kuangamizwa, naibu wa masuala ya kijeshi wa kiongozi wa Daesh (ISIS) ambaye anaaminiwa ni mtu nambari mbili wa genge hilo la ukufurishaji katika mkoa wa Kirkuk wa kaskazini mwa Iraq.
-
Mkakati erevu wa serikali ya Sana'a baada ya kumalizika usitishaji vita; kulenga sekta ya nishati
Oct 07, 2022 22:50Kufuatia kushindwa mapatano ya kurefusha usitishaji vita nchini Yemen, msemaji wa jeshi la nchi hiyo ameonya kuwa usalama wa uwekezaji katika nchi mbili za Saudi Arabia na Imarati uko hatarini.
-
Hizbullah: Tutatumia nguvu za kijeshi ikiwa Israel itachimba mafuta na gesi kabla ya kufikiwa mwafaka
Oct 07, 2022 08:12Mwakilishi wa Hizbullah katika Bunge la Lebanon amesema, harakati hiyo ya muqawama itatumia nguvu za kijeshi iwapo utawala haramu wa Kizayuni wa Israel utaamua kuchimba mafuta na gesi kabla ya kufikia makubaliano na Lebanon juu ya maeneo ya mpaka wa baharini zinayozozania.
-
Kukiri Waziri Mkuu wa UK kwamba yeye ni Zayuni "la kutupwa"
Oct 06, 2022 23:06Liz Truss ambaye ni karibu mwezi mmoja tu nyuma ameanza kazi ya uwaziri mkuu wa Uingereza, amejitokeza hadharani na kutangaza kuwa yeye ni Zayuni "la kutupwa" yaani Mzayuni mkubwa sana na amesema atahakikisha uhusiano wa London na Wazayuni utaimarika mno wakati wa uongozi wake.
-
Yemen: Hakutakuwa na usitishaji vita hadi haki za watu wa Yemen zipatikane
Oct 06, 2022 23:04Waziri Mkuu wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen ameutaja muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia na Umoja wa Mataifa kuwa zinahusika katika kufeli kwa usitishaji vita huko Yemen.
-
Bahrain yajiondoa kwenye uchaguzi wa taasisi ya UN kufuatia ukosoaji
Oct 05, 2022 23:50Bahrain imelazimika kujiondoa kwenye uchaguzi ujao wa kuwasaka wanachama wapya wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), kufuatia jitihada na lalama za asasi za kutetea haki za binadamu juu ya rekodi nyeusi ya serikali ya Manama.
-
Makumi wauawa katika mripuko mwingine wa bomu msikitini Kabul
Oct 05, 2022 23:33Makumi ya watu wamepoteza maisha katika shambulio la bomu lililolenga msikiti mmoja huko Kabul, mji mkuu wa Afghanistan, kwenye ua wa Wizara ya Mambo ya Nje ya serikali ya Taliban.
-
Sababu na matokeo ya kushindwa kwa usitishaji vita nchini Yemen
Oct 05, 2022 22:55Mazungumzo ya kurefusha usitishaji vita kwa mara ya tatu nchini Yemen yameshindwa kufikia mwafaka.