-
Mpango wa Trump; majibu ya Hamas na mvutano mkubwa katika baraza la mawaziri la Israel
Oct 07, 2025 07:57Wakati mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Gaza yameingia mwaka wake wa pili, hivi karibuniRais Donald Trump wa Marekani aliwasilisha mpango wenye vipengele 20 akidai usitishaji vita huko Gaza.
-
Wanajeshi wengine sita wa Israel waangamizwa na kujeruhiwa huko Ghaza
Oct 07, 2025 06:56Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeripoti kutokea tukio zito la kiusalama kwa wanajeshi wa utawala huo dhalimu huko kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Hamas: Msimamo mmoja wa Muqawama wa Palestina umeitenga zaidi Israel
Oct 07, 2025 02:41Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema msimamo mmoja ulioidhinishwa na mirengo yote ya Muqawama wa Palestina kuhusu pendekezo la Rais wa Marekani la kusitisha mapigano Gaza, umepelekea kuzidi kutengwa Israel kimataifa.
-
Mbali na mateka, HAMAS wana turufu nyingine hizi
Oct 06, 2025 23:42Wakati vyombo vya habari vya Israel vikijaribu kuonesha suala la mateka kama kitu pekee ya mashinikizo ilicho nacho Hamas, mchambuzi mmoja wa Jordan ameionya kwamba Hamas inaweza kuvuruga mlingano huo wakati wowote kwa kutumia turufu nyingine kadhaa tofauti za kimkakati.
-
Timu ya mazungumzo ya Hamas yawasili Misri
Oct 06, 2025 09:55Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza katika taarifa yake ya leo Jumatatu kuwa timu yake ya mazungumzo imeshawasili Misri.
-
WHO: Watu 400 wameaga dunia kwa utapiamlo Ukanda wa Gaza tangu kuanza mwaka huu
Oct 06, 2025 08:13Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti kuwa watu 400 wameaga dunia kw autapiamlo katika Ukanda wa Gaza kutokana na njaa ya makusudi iliyosaabishwa na Israel. Watoto 100 ni miongoni mwa idadi hii tajwa ya waliopoteza maisha kwa njaa; watoto 80 walikuwa na umri wa chini ya miaka mitano.
-
Jeshi la Yemen lashambulia kwa droni bandari ya Eilat katika oparesheni mpya dhidi ya Israel
Oct 06, 2025 08:03Wanajeshi vya Yemen wamefanya shambulio la ndege isiyo na rubani (droni) kuelekea mji wa bandari wa Eilat katika ncha ya kusini kabisa ya maeneo yanayokaliwa na Israel katika operesheni mpya ya jeshi la Yemen ya kulipiza kisasi katika kuwaunga mkono wananchi wa Palestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Hizbullah: Mpango wa Trump wa Gaza unalenga 'kuisafisha' Israel
Oct 05, 2025 23:07Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem amekosoa mpango wa Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu Gaza, na kuutaja kuwa ni hatua hatari ya kuisafisha Israel kutokana na jinai zake na sehemu ya ajenda ya kujitanua utawala huo ghasibu.
-
Netanyahu ndiye aliyeamuru kushambuliwa kwa droni meli za msafara wa Sumud bandarini Tunisia
Oct 05, 2025 22:52Uchunguzi uliofanywa umebaini kuwa, waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ndiye aliyetoa idhini ya kufanywa mashambulio ya ndege zisizo na rubani yaliyolenga msafara wa kimataifa wa meli za misaada ya kibinadamu kwa ajili ya Ghaza zilizokuwa zimetia nanga kwenye bandari ya Tunisia.
-
Khalid Qaddoumi: Tel Aviv inakwamisha amani; mpira upo katika uwanja wa Marekani na Israel
Oct 05, 2025 06:19Khalid Qaddoumi Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano yaKiislamu ya Palestina Hamas nchini Iran amesema kuwa harakati hiyo ya muqawama ya Palestina imekuwa tayari tangu awali kubadilishana mateka na kusimamisha vita katika Ukanda wa Gaza lakini uvamizi wa kijeshi unaoendelea kufanywa na Israel umezuia kupatikana amani.