-
Kutoka kwenye siasa hadi michezo; kutengwa Israel duniani kote kutokana na mauaji ya kimbari ya Gaza
Oct 05, 2025 04:11Vita vya Ghaza na jinai nyingine zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel zimekabiliwa na msururu wa mashinikizo ya kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni ambayo yameufanya utawala huo ghasibu kuwa taifa linalochukiwa na kukataliwa duniani.
-
Kiongozi wa Hamas ajitokeza kwa mara ya kwanza tangu Israel iliposhambulia Doha
Oct 05, 2025 04:08Khalil al-Hayya kiongozi wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amejitokeza kwa mara ya kwanza tangu utawala wa Israel ulipowashambulia huko Doha maafisa wa harakati hiyo ya Muqawama ya Palestina.
-
Yemen yafanya mashambulizi mapya ya makombora dhidi ya Israel; sauti za ving'ora zasikika
Oct 05, 2025 04:07Ving'ora vya mashambulizi ya anga vimesikika katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu (Israel) kufuatia kombora la balestiki lililovurumishwa na Jeshi la Yemen ili kulipiza kisasi vita vya mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala ghasibu wa Israel huko Gaza.
-
Israel yampuuza Trump, yaendelea kuwaua Wapalestina Gaza; Hamas yalaani
Oct 04, 2025 23:17Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imemjia juu Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa madai ya uwongo kuwa ameliamuru jeshi la utawala huo kupunguza mashambulizi yake katika Ukanda wa Gaza.
-
Kukadhibishwa tuhuma za utawala wa Kizayuni dhidi ya UNRWA; kwa nini simulizi za Tel Aviv hazina itibari?
Oct 04, 2025 22:56Jaji wa Kimarekani amekadhibisha tuhuma dhidi ya UNRWA kwamba inaiunga mkono harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas.
-
Viongozi wa dunia wakaribisha jibu chanya la Hamas kwa pendekezo la amani Gaza
Oct 04, 2025 07:52Viongozi wa kimataifa wamekaribisha hatua ya awali ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, ya kukubali kushiriki katika mazungumzo ya amani yaliyosubiriwa kwa muda mrefu, yakilenga kumaliza vita vya miaka miwili vya mauaji ya kimbarii vinavyoendeshwa na Israel dhidi ya Gaza.
-
Radiamali ya watumiaji X kwa mpango wa Marekani wa kusitisha vita huko Gaza: hatuamini, Trump si mwaminifu
Oct 04, 2025 06:14Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wamesisitiza haja ya kuwa macho dhidi ya mpango wa Rais wa Marekani wa kusitisha vita huko Gaza.
-
Umoja wa Mataifa wakaribisha taarifa ya Hamas kuhusu usitishaji vita Gaza
Oct 04, 2025 04:01Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekaribisha kwa mikono miwili taarifa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas inayoonyesha utayarifu wake wa kuwaachilia mateka na kukubali kwa masharti mpango wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza.
-
Israel yatoa amri ya kusitisha uvamizi Ghaza baada ya HAMAS kukubali kwa masharti mpango wa kusimamisha vita
Oct 03, 2025 23:40Chombo komoja cha habari cha utawala wa Kizayuni kimedai kuwa jeshi la Israel limeamuru kupunguzwa operesheni za kijeshi huko Ghaza baada ya Hamas kukubali kwa masharti mpango wa nukta 20 wa Donald Trump kuhusu kusimamishwa vita kwenye ukanda huo.
-
Mkuu wa UNRWA atoa indhari: Israel inaelekea kufanya "mauaji ya halaiki ya idadi kubwa" katika Mji wa Ghaza
Oct 03, 2025 07:10Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA), Philippe Lazzarini, ametahadharisha kwamba utawala wa kizayuni wa Israel inaonekana unapanga kufanya "mauaji ya halaiki ya idadi kubwa" katika Mji wa Ghaza huku ukiwa unashadidisha mzingiro wake na mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya mji huo.