-
HAMAS yasisitizia msimamo wake wa kupinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Wazayuni
Aug 24, 2022 03:32Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS kwa mara nyingine tena imesisitiza kwamba, inapinga kuanzishwa uhusiano wa aina yoyote na utawala haramu wa Israel.
-
Kuanza mgomo wa kula chakula wa wafungwa wa Kipalestina
Aug 23, 2022 23:48Jumatatu ya juzi tarehe 22 Agosti, mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela za kuogofya za utawala wa Kizayuni wa Israel walianzisha mgomo usio na kikomo wa kula chakula wakilalamikia hatua za kidhalimu na maafisa wa utawala huo katika magereza.
-
Wanajeshi wa Israel waendeleza jinai katika maeneo tofauti ya Palestina
Aug 23, 2022 06:00Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wanaendelea na jinai zao dhidi ya Wapaelstina katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Jeshi la Syria lauzuia msafara wa magari sita ya kijeshi wa askari wa Marekani
Aug 23, 2022 03:23Vikosi vya jeshi la Syria vimeuzuia msafara wa askari wa jeshi la Marekani kuvuka eneo la kaskazini mashariki ya nchi hiyo.
-
Nasrullah: Ushindi wa mwaka 2000 wa Muqawama ulitamatisha mradi wa "Israel Kubwa"
Aug 22, 2022 22:51Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, ushindi wa mwaka 2000 wa Muqawama ulihitimisha mradi wa "Israel Kubwa."
-
HAMAS: Jukumu la kambi ya muqawama ni kuifuta Israel katika uso wa dunia
Aug 22, 2022 20:55Kiongozi mmoja mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, jukumu kuu la kambi ya muqawama ni kuhakikisha ardhi zote za Palestina zinakombolewa na hiyo maana yake ni kufutwa katika uso wa dunia, utawala pandikizi wa Kizayuni ambao unazikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Wafungwa wa Palestina waanza mgomo wa kula
Aug 22, 2022 06:37Mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela za kuogofya za utawala wa Kizayuni wa Israel wameanzisha mgomo usio na kikomo wa kula chakula.
-
Zaidi ya nusu karne sasa tangu kufanyika jinai ya kuchomwa moto Msikiti wa al-Aqswa
Aug 22, 2022 04:45Jumapili ya jana tarehe 21 Agosti ilisadifiana na kutimia mwaka wa 53 tangu kuchomwa moto Msikiti mtakatifu wa al-Aqswa, kibla cha kwanza cha Wiaslamu, jinai ambayo ilifanywa na utawala vamizi wa Israel ambapo walimwengu walibakia kuwa watazamaji tu na kutoonyesha radiamali yoyote kwa kitendo hicho cha kinyama.
-
Hamas yaishukuru Iran kwa kuunga mkono ukombozi wa Palestina
Aug 22, 2022 02:37Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuunga mkono harakati za ukombozi wa Palestina.
-
Kongamano la Palestina lalaani hatua za Israel dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa
Aug 22, 2022 02:04Sekretarieti ya Kudumu ya Kongamano la Uungaji Mkono kwa Intifadha ya Palestina katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imelaani hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).