-
UN yalaani kufungwa jela miaka 34 mwanaharakati mwanamke Saudia
Aug 21, 2022 23:55Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limekosoa hatua ya watawala wa Saudi Arabia ya kumpa hukumu nzito mwanaharakati mwanamke kutokana na ujumbe wake wa Twitter.
-
Saudia imeiba mafuta ya Yemen yenye thamani ya dola bilioni 9
Aug 21, 2022 23:54Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen imesema Saudi Arabia na washirika wake wameiba mafuta yenye thamani ya mabilioni ya dola tangu waivamie nchi hiyo maskini ya Kiarabu mwaka 2015.
-
Kuendelea wizi na uharamia wa Marekani wa kuiba mafuta ya Syria
Aug 21, 2022 23:53Wizi na usafirishaji kimagendo mafuta ya Syria ungali unaendelea kufanywa na wanajeshi wa Marekani na wanamgambo wenye mfungamano nao katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Balozi wa UAE kurejea Iran kuimarisha zaidi uhusiano
Aug 21, 2022 23:32Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) nchini Iran, Saif Mohammed Al Zaabi, ataanza tena kazi yake mjini Tehran katika siku zijazo ikiwa ni katika juhudi za kuimarisha uhusiano wa pande zote.
-
Sheikh Ikrima Sabri: Quds na Msikiti wa al-Aqswa vinapitia kipindi kigumu
Aug 21, 2022 06:43Khatibu wa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina amesema kuwa, Quds na Msikiti wa al-Aqswa vinapitia kipindi kigumu kabisa.
-
Siku ya Kimataifa ya Misikiti; Palestina iko mstari wa mbele kulinda Msikiti wa al Aqsa
Aug 21, 2022 02:28Khatibu wa Msikiti wa al Aqsa katika mji mtakatifu wa Quds huko Palestina amesema kuwa, Msikiti huo mtakatifu bado uko kwenye moto wa jinai za Wazayuni lakini wananchi wa Palestina wataendelea kuwa mstari wa mbele kuulinda.
-
Utawala wa Kizayuni umevunja nyumba 50 za Wapalestina katika kipindi cha wiki mbili tu
Aug 21, 2022 02:27Ofisi ya Uratibu wa Masuala Kibinadamu katika Ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni OCHA amesema kuwa,utawala wa kizayuni umeharibu nyumba 50 za Wapalestina katika kipindi cha wiki mbili tu zilizopita.
-
HAMAS yalaani hatua ya Polisi ya Ujerumani ya kufuatilia kauli ya Abbas kuhusu Holocaust
Aug 20, 2022 22:15Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, imelaani hatua ya maafisa wa Polisi ya Ujerumani ya kuamua kuchunguza matamshi aliyotoa Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na kusisitiza kuwa hatua hiyo inadhihirisha kuwa si kweli kama Berlin haipendelei upande wowote.
-
Uhusiano wa Uturuki na Israel walipiga jambia kwa nyuma taifa la Palestina
Aug 20, 2022 05:26Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Ukombozi wa Wananchi wa Palestina amelaani vikali hatua ya Uturuki ya kurejesha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Oman yasisitizia msimamo wake wa kutoruhusu ndege za Israel kutumia anga yake
Aug 19, 2022 03:41Oman imesisitizia msimamo wake wa kukataa kuruhusu ndege za utawala wa haramu wa Israel kuruka katika anga yake.