-
Umoja wa Mataifa walaani milipuko mtawalia nchini Afghanistan
Aug 19, 2022 03:37Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake mkubwa kufuatia mfululizo wa milipuko inayotokea nchini Afghanistan ambayo imeua na kujeruhi zaidi ya watu 250 mwezi huu wa Agosti, ikiwa ni pamoja na watoto.
-
Muungano vamizi wa Saudia waendelea kukiuka usitishaji vita nchini Yemen
Aug 19, 2022 03:29Muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umeendelea kukiuka makubaliano ya usitishaji viita ambapo katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita umekiuka usitishaji vita huo mara 202.
-
Yemen yaonya kuhusu harakati za kutia shaka za askari wa US, Ufaransa
Aug 18, 2022 23:35Bunge la Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen limetadharisha kuhusu harakati na nyendo za kutiliwa shaka za wanajeshi wa Marekani na Ufaransa katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Mazungumzo ya vyama; njia ya kuikwamua Iraq katika mgogoro
Aug 18, 2022 22:10Rais, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge pamoja na vyama kadhaa vya siasa vya nchi hiyo wametoa taarifa wakisisitizia ulazima wa kukomeshwa aina yoyote ile ya mzozo na mvutano katika mitaa na barabara za nchi hiyo.
-
Ansarullah ya Yemen: Marekani imeua mamilioni ya watu katika maeneo mbalimbali duniani
Aug 18, 2022 06:00Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameashiria jinai za Marekani dhidi ya raia katika maeneo tofauti ya dunia na kusema kuwa, Washington imeua mamilioni ya watu katika pembe tofauti ulimwenguni.
-
HAMAS: Ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni ni juhudi za kushindwa kufuta alama za Kiislamu Quds
Aug 18, 2022 05:59Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani vikali kuendelea kupasishwa mipango ya ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kkwa mabavu za Palestina.
-
Shirika la WHO lapeleka misaada ya kibinadamu Yemen
Aug 18, 2022 05:58Shirika la Afya Duniani (WHO) liimepeleka msaada wa dharura wa vifaa vya matibabu ikiwemo maabara kwa lengo la kuinua uwezo wa timu zinazotoa huduma za waathirika wa mafuriko waliopata kiwewe na wahaka.
-
HAMAS: Marekani ni mshirika wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Aug 17, 2022 23:41Mousa Mohammed Abu Marzook, Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Marekani ni mshirika wa jinai zinazofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Wapalestina wa Gaza wataka kushtakiwa Wazayuni walioua watoto wao
Aug 17, 2022 07:47Wakazi wa Ukanda wa Gaza wamefanya maandamano wakitaka kufunguliwa mashitaka utawala wa Kizayuni wa Israel katika mahakama za kimataifa, kwa kuua watoto wa Kipalestina katika eneo hilo ambalo liko chini mzingiro.
-
Mwanamke Saudia afungwa jela miaka 34 kwa ujumbe wa Twitter
Aug 17, 2022 07:40Saudi Arabia imemhukumu mwanamke mmoja kifungo cha miaka 34 jela, eti kwa kupatikana na hatia ya kumiliki ukurasa wa Twitter na kusambaza ujumbe unaoukosoa utawala wa Aal-Saud kupitia mtandao huo wa kijamii.