-
Syria: Tumejiweka tayari kukabiliana na shambulio lolote litakalofanywa na Uturuki
Jul 27, 2022 03:33Wizara ya ulinzi ya Syria imetangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limejiweka tayari kikamilifu kukabiliana na shambulio lolote linaloweza kufanywa na Uturuki na makundi inayoyaunga mkono.
-
Iraq yakaribisha taarifa ya Baraza la Usalama la UN dhidi ya mashambulio ya Uturuki
Jul 26, 2022 07:11Wizara ya mambo ya nje ya Iraq imeonyesha msimamo wake wa kwanza kuhusiana na taarifa ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kutangaza kuwa, matini ya taarifa hiyo inaunga mkono misimamo ya nchi hiyo.
-
Nasrullah: Maeneo yote ya Israel yapo katika shabaha ya makombora ya Hizbullah
Jul 26, 2022 03:17Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema makombora yenye usahihi mkubwa katika kulenga shabaha ya harakati hiyo ya muqawama yana uwezo wa kupiga sehemu yoyote ya utawala haramu wa Israel; baharini au ardhini.
-
Mvua na mafuriko yaua watu zaidi ya 300 nchini Pakistan
Jul 26, 2022 02:44Watu wasiopungua 310 wamefariki dunia nchini Pakistan kutokana na mafuriko na matukio yanayohusiana na mvua kali zinazoendelea kunyesha nchini humo.
-
Kuanza tena safari za Bin Salman katika nchi za Magharibi baada ya kusimama kwa miaka 4
Jul 26, 2022 00:12Mohammed bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia anatazamiwa kuondoka nchini humo leo Jumanne kwa ajili ya kufanya safari katika nchi za Ugiriki na Cyprus.
-
Baada ya kutimuliwa Russia, shirika la uhajiri wa Mayahudi kuhamishiwa Israel
Jul 25, 2022 03:44Sambamba na kushadidi mivutano katika uhusiano wa Russia na Israel, duru za habari zimeripoti kuwa shirika la uhajiri wa Mayahudi limeandaa mpango wa siri wa kuhamishia Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) ofisi yake iliyokuweko mjini Moscow.
-
Maulamaa wa Beirut: Lebanon katu haitaanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni
Jul 25, 2022 03:25Baraza la Maulamaa wa Beirut limesisitiza kuwa hakuna mahusiano yoyote ya kibinadamu au ya kidini baina ya Lebanon na utawala ghasibu wa Kizayuni wa Israel kwa sababu kulingana na katiba utawala huo ni adui wa Lebanon.
-
Wapalestina 21 wauawa, kujeruhiwa na askari wa Israel Ukingo wa Magharibi
Jul 24, 2022 03:08Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi Wapalestina wawili na kujeruhi wengine 19 katika miji ya Nablus na Jenin katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu.
-
Iraq: Kikao kijacho cha Iran na Saudia mjini Baghdad kitafanyika hadharani
Jul 23, 2022 21:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amesema, kikao kijacho cha Saudi Arabia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Baghdad kitakuwa cha mazungumzo ya wazi kutokana na ombi lililotolewa na mrithi wa ufalme wa Saudia.
-
Ansarullah yalaani vikali mwandishi wa habari mzayuni kukanyaga ardhi tukufu ya Makka
Jul 23, 2022 21:53Ofisi ya kisiasa ya harakati ya Ansarullah ya Yemen imelaani vikali hatua ya Saudi Arabia ya kutoa kibali kwa mwandishi wa habari mzayuni wa Israel kufika kwenye ardhi tukufu ya Makka.