-
Mfalme wa Bahrain amuuzulu waziri wake kwa kukataa kumpa mkono balozi wa Israel
Jul 23, 2022 21:52Mfalme wa Bahrain amemuuzulu waziri mwanamke wa nchi hiyo kwa kukataa kumpa mkono balozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa mjini Manama na kwa kupinga hatua ya kuanzisha ya uhusiano wa kawaida na utawala huo haramu.
-
Wanamuqawama wa Iraq wataka jibu kwa shambulio la Uturuki
Jul 23, 2022 06:54Harakati ya Muqawama ya Asa’ib Ahl al-Haq ya Iraq imelitaka Bunge la nchi hiyo lichukue hatua za kivitendo kujibu mashambulizi ya anga ya Uturuki katika eneo la Kurdistan, lililoua na kujeruhi makumi ya raia.
-
Uturuki yaendelea kukiuka mamlaka ya kujitawala Iraq
Jul 22, 2022 23:49Uturuki kwa mara nyingine imekiuka mamlaka ya kujitawala Iraq kwa kuvamia mikoa ya kaskazini mwa nchi hiyo. Jeshi la Uturuki lilifanya shambulio katika kituo cha utalii katika mkoa wa Zakho ulioko katika eneo la Kurdistan ya Iraq Jumatano, na kuwauwa wanawake na watoto wasiopungua 11.
-
Nasrallah: Hizbullah ilikataa hongo ya Marekani kusitisha makabiliano na Israel
Jul 22, 2022 23:15Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon anasema harakati hiyo ilikataa mapendekezo kadhaa ya hongo ya kifedha ya Marekani ili kusitisha mapambano yake na utawala wa Kizayuni wa Israel .
-
Hamas: Wazayuni hawatafaulu kamwe kuiyahudisha Quds tukufu
Jul 22, 2022 08:39Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, amri ya kuharibiwa nyumba za Wapalestina na kuwazuia kujenga huko Quds tukufu (Jerusalem) kamwe haitaweza kuharibu makumbusho na athari zake za kihistoria na Kiislamu za eneo hilo.
-
Katibu Mkuu wa UN atoa wito wa uchunguzi wa haraka kuhusu shambulio la Duhok nchini Iraq
Jul 22, 2022 07:43Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani shambulizi lalilofanyika huko Duhok, Iraq na kutaka uchunguzi ufanyike mara moja kuhusu shambulizi hilo.
-
Tawi la kijeshi la HAMAS ya Palestina lapiga gwaride dhidi ya Israel, Gaza
Jul 22, 2022 03:06Bridegi za Izuddin Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimefanya gwaride kubwa la kijeshi katika Ukanda wa Gaza.
-
Jeshi la Syria latungua makombora ya Israel viungani mwa Damascus
Jul 22, 2022 02:41Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Syria kimetangaza kutungua makombora yaliyokuwa yamevurumishwa na utawala haramu wa Israel nje ya mji mkuu Damascus.
-
Mafanikio ya mkutano wa Tehran katika matamshi ya Erdoğan
Jul 21, 2022 22:02Kama ilivyotazamiwa, Mkutano wa 7 wa "Dhamana ya Mchakato wa Astana" uliofanyika majuzi mjini Tehran umekuwa na mafanikio makubwa kuhusu masuala yanayohusiana na serikali halali ya Rais Bashar al-Assad wa Syria na watu wa nchi hiyo.
-
Sana'a: Fedha ya Imarati na Saudia haiwezi kutupigisha magoti
Jul 20, 2022 07:18Waziri Mkuu wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa, fedha ya Imarati na Saudi Arabia imeipigisha magoti sehemu kubwa ya hii dunia, lakini haiwezi kuiburuta na kuipigisha magoti serikali ya Sana'a.