-
Nasrullah atahadharisha kuhusu njama za kuitumbukiza Lebanon katika mzozo baada ya ajali ya boti
Apr 25, 2022 06:21Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Hizbullah ametahadharisha juu ya njama zenye lengo la kuibua machafuko katika nchi hiyo ambayo imeathiriwa na mgogoro mkubwa wa kiuchumi. Sayyid Hassan Nasrullah ameeleza haya baada ya boti kuzama mashariki mwa bahari ya Mediterania.
-
Mrengo wa Sadr waandaa muswada wa kupiga marufuku uhusiano na Israel
Apr 25, 2022 06:12Mrengo wa Sadr unaoongozwa na mwanachuoni mashuhuri wa Kishia nchini Iraq, Muqtada al-Sadr umeandaa muswada wa sheria inayoharamisha kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Jeshi vamizi la Marekani linawasaidia magaidi wa ISIS nchini Syria
Apr 25, 2022 03:20Huku Marekani ikitekeleza jitihada za kuzidisha nguvu zake nchini Syria, jeshi lake ambalo linaikalia nchi hiyo kwa mabavu linaripotiwa kuwasaidia magaidi wakufurishaji wa ISIS au Daesh katika eneo la kistratijia la al-Tanf, karibu na mipaka ya Iraq na Jordan.
-
Abdul Salam: Majibu ya Yemen kwa ukiukaji wa usitishaji mapigano yatakuwa mazito
Apr 24, 2022 23:31Msemaji wa Serikali ya Uokoaji wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa, jeshi la Yemen na kamati za wananchi zitatoa jibu kali kwa ukiuka wa makubaliano ya kusitisha vita, akigusia vitendo viovu vya muungano wa vita unaoongozwa na Saudia huko Ma'rib.
-
Makamanda wa Israel wauonya utawala wa Kizayuni usithubutu kuingia vitani na Ukanda wa Ghaza
Apr 24, 2022 08:20Majenerali wa kijeshi wa utawala wa Kizayuni wametoa onyo kali kwa viongozi wa kisiasa wa utawala wa Kizayuni na kuwataka wasithubutu na wasijaribu kabisa kuanzisha vita na Ukanda wa Ghaza.
-
Wavamizi wavunja makubaliano ya Yemen, wazuia ndege kutua Sana'a
Apr 24, 2022 07:37Naibu wa Mkuu wa Shirika la Ndege la Yemen amesema kuwa, madola vamizi yanayoongozwa na Saudi Arabia yanazuia ndege kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Sana'a na huo ni uvunjaji wa wazi kabisa wa usimamishaji vita uliotangazwa na Umoja wa Mataifa.
-
Msikiti wa Al Aqsa, utambulisho wa kihistoria na kidini wa Palestina
Apr 24, 2022 03:56Karibu Wapalestina 150,000 walishiriki katika Sala ya Ijumaa iliyopita iliyosaliwa katika Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mazungumzo ya Iran na Saudi Arabia yaanza tena
Apr 23, 2022 23:20Wawakilishi wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia wamekutana kwa duru ya tano ya mazungumzo yenye lengo la kurekebisha uhusiano uliozorota wa nchi hizi mbili jirani katika Ghuba ya Uajemi.
-
Kuendelea mashambulizi ya kigaidi Afghanistan na majukumu ya Taliban
Apr 23, 2022 21:59Milipuko ya kigaidi iliyotokea hivi karibuni katika miji minne ya Afganistan baada ya kipindi kifupi cha utulivu wa kiwango fulani, imezusha mjadala mkubwa katika duru za kisasa na kiusalama. Kundi la kigadi la Daesh limetangaza kuhusika na milipuko hiyo ya umwagaji damu iliyouwa makumi ya watu na kujeruhi wengine wengi.
-
Al Kadhimi: Wapiganaji wa Daesh hawana chaguo isipokuwa kifo
Apr 23, 2022 06:59Waziri Mkuu wa Iraq amewambia magaidi wa Daesh (ISIS) kwamba wanasubiriwa na mashambulizi zaidi na mauaji ya kiongoi mpya wa kundi hilo.