-
Shambulizi la kulipiza kisasi la Iran ni kengele ya tahadhari kwa viongozi wa Iraq kuhusu hatari ya Israel
Mar 14, 2022 08:59Makundi ya wananchi ya kupambana na ugaidi nchini Iraq yametaka kuondolewa nchini humo mara moja vikosi vya kigeni yakisema kuwa hatua ya serikali ya eneo la Kurdistan ya kualika katika eneo vibaraka wa Mossad inawafanya Wairaki kuwa shabaha ya kulengwa na upande wowote unaopinga vibaraka hao.
-
Sana'a: Hatua ya Saudia ya kuwanyonga mateka wa Yemen ni jinai ya kivita
Mar 14, 2022 04:27Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen imekitaja kitendo cha Saudi Arabia cha kuwanyonga mateka kadhaa wa Yemen kuwa ni mfano wa wazi wa jinai ya kivita.
-
Mamlaka ya Ndani ya Palestina: Ujenzi wa vitongoji vya walowezi ni kinyume na sheria za kimataifa
Mar 13, 2022 23:27Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetangaza kuwa, mpango mpya wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unakinzana na sheria za kimataifa.
-
Oparesheni ya kuvunja mzingiro dhidi ya Yemen ndani ya Saudi Arabia
Mar 13, 2022 07:34Brigedia Jenerali Yahya Saree, Msemaji wa Jeshi la Yemen mapema wiki hii alitangaza kuhusu kutekelezwa oparesheni ya kuvunja mzingiro dhidi ya Yemen iliyotekelezwa ndani ya ardhi ya Saudia.
-
Dunia yalaani mauaji ya wafungwa 81 nchini Saudi Arabia, zaidi ya nusu yao ni Waislamu wa madhehebu ya Shia
Mar 13, 2022 07:34Hatua ya utawala wa Kifalme wa Saudi Arabia ya kuwanyonga watu 81 wakiwemo vijana 41 wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia imekbiliwa na upinzani mkali na jamii ya kimataifa, makundi na harakati za kisiasa katika nchi za Kiislamu.
-
Kambi za kijeshi za Marekani na MOSSAD nchini Iraq zashambuliwa kwa makombora + Video
Mar 13, 2022 04:38Vyombo vya habari vya Iraq na duru za kijeshi nchini humo zimeripoti kuwa, kambi ya kijeshi ya Marekani katika mji wa Erbil, makao makuu ya eneo la Kurdistan la Iraq imeshambuliwa kwa makombora ya balestiki.
-
Utawala wa Saudia wawanyonga watu 81 ndani ya saa 24
Mar 13, 2022 04:21Utawala wa Aal-Saud nchini Saudi Arabia katika kipindi cha saa 24 umetekeleza hukumu ya kifo kwa kuwanyonga wafungwa 81 waliokuwa wanahusishwa na madai ya ugaidi.
-
Jihadul Islami: Israel ni 'mwanaharamu' wa ukoloni wa Magharibi
Mar 12, 2022 22:51Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imeutaja utawala wa Kizayuni wa Israel kama mwanaharamu wa ubeberu na ukoloni wa nchi za Magharibi.
-
UNICEF: Mamilioni ya watoto wa Yemen katika hatari ya kufa njaa
Mar 12, 2022 09:14Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, mamilioni ya watoto wa Yemen wapo katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na kusakamwa na njaa, huku muungano wa kivita unaoongozwa na Saudi Arabia ukiendelea kufanya mashambulizi na kuliwekea mzingiro wa kila upande taifa hilo maskini la Kiarabu.
-
Ansarullah ya Yemen imefanya operesheni kubwa ya mashambulio ndani kabisa ya ardhi ya Saudia
Mar 12, 2022 03:28Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen ametoa ufafanuzi wa shambulio la ndege zisizo na rubani lililofanywa na jeshi la nchi hiyo ndani kabisa ya ardhi ya Saudi Arabia kujibu uchokozi na hujuma za kila leo wanazofanyiwa raia wa Yemen na muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na utawala wa Riyadh.