-
Saudi Arabia yaruhusu tena ibada ya Umra kwa masharti
Mar 11, 2022 20:34Serikali ya Saudi Arabia imewaruhusu Waislamu ambao hawajachanjwa dhidi ya virusi vya Corona, au ambao hawajakamilisha chanjo hiyo kufanya ibada ya Umra na kuingia Msikiti Mtakatifu wa Makka na Msikiti wa Mtume mjini Madina.
-
Bin Salman anatafuta kinga ya kutofikishwa mahakamani Marekani
Mar 11, 2022 20:33Serikali ya Riyadh inatumia ongezeko la bei ya mafuta na gesi kama wenzo wa kupata kinga ya kutofikishwa mahakamani mrithi wa ufalme wa nchi hiyo, Muhammad bin Salman huko Marekani.
-
Maandamano makubwa ya kupinga Israel nchini Uturuki
Mar 11, 2022 20:32Ni jambo lisilo na shaka kwamba, nukta dhaifu zaidi kwa kila mwanasiasa ni kulazimika kumueleza adui yake mambo yake ya siri na kumfanya adui huyo aelewe nini hasa kinachotakiwa na mwanasiasa huyo.
-
Wabahrain waandamana kulaani safari ya mkuu wa majeshi ya Israel
Mar 11, 2022 04:38Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano ya kulaani safari ya Luteni Jenerali Aviv Kochavi, Mkuu wa Majeshi ya Israel nchini humo, sanjari na kulaani hatua ya utawala wa Aal-Khalifa wa nchi hiyo ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Harakati ya Palestina: Hakuna nchi inayounga mkono ukombozi wa Quds kama Iran
Mar 11, 2022 04:33Harakati ya Mujahideen ya Palestina imesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono kwa dhati suala la kukombolewa kwa mji mtukufu wa Quds, unaokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yaitaka ICC kufuatilia uhalifu wa kivita wa Israel
Mar 11, 2022 01:11Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) limeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuendeleza uchunguzi wake kuhusu jinai za kivita na jinai dhidi ya binadamu zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Palestina.
-
Mgogoro wa Ukraine kwa mtazamo wa Hassan Nasrullah; kuporomoka kimaadili Wamagharibi
Mar 10, 2022 22:59Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mgogoro wa Ukraine umeonyesha kuporomoka kimaadili Wamagharibi.
-
Palestina: Mgogoro wa Ukraine umeonyesha kuwa vigezo vya mfumo wa kimataifa ni vya kibaguzi
Mar 10, 2022 08:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema, mgogoro wa Ukraine umeonyesha kuwa vipimo na vigezo vinavyotumiwa na mfumo wa kimataifa ni vya kibaguzi na undumakuwili.
-
Mtandao mwingine mpya wa ujasusi wa Israel wasambaratishwa nchini Lebanon
Mar 10, 2022 08:53Duru za habari zimeripoti kuwa, vikosi vya usalama vya Lebanon vimegundua na kuuangamiza mtandao mwingine mpya wa ujasusi nchini humo uliokuwa ukilifanyia kazi shirika la ujasusi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Mossad.
-
Saudi Arabia na kuongeza gharama za kijeshi
Mar 10, 2022 07:10Walid Abu Khalid, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Viwanda vya Silaha vya Saudi Arabia ametangaza kuwa, taifa hilo la Kiarabu lina mpango wa kujenga kiwanda kikubwa zaidi ulimwenguni cha utengenezaji na uzalishaji silaha na zana za kijeshi.