-
Wazayuni wenye misimamo mikali wavamia msikiti wa al-Aqswa
Sep 02, 2025 23:04Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia tena msikiti mtakatifu wa Al-Aqswa na kufanya vitendo vya kichochezi dhidi ya kibla hicho cha kwanza cha Waislamu.
-
Hatua za Israel dhidi ya Yemen na Gaza zimeakisiwa vipi miongoni mwa watu wa Afrika?
Sep 02, 2025 23:02Wananchi wa baadhi ya nchi za Kiafrika wamefanya maandamano makubwa kujibu jinai za Israel za kuishambulia Yemen na kuendelea jinai za utawala huo ghasibu dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Ansarullah: Tunajiandaa kutoa majibu ya kushangaza kwa Israel baada ya kuuawa maafisa wa juu wa Yemen
Sep 02, 2025 07:54Harakati ya mapambano ya Yemen ya Ansarullahy imesema kuwa inajiandaa kutoa majibu ya kushangaza kwa utawala wa Israel katika kulipiza kisasa mauaji ya karibuni ya maafisa wa ngazi ya juu wa Yemen yaliyotekelezwa na utawala wa Kizayuni huko Sana'a mji mku wa Yemen.
-
Mkurugenzi wa klabu ya michezo ya Gaza auawa katika shambulilo la Israel akisubiri misaada
Sep 02, 2025 07:50Shambulizi la anga la Israel ambalo lililenga umati wa watu waliokuwa wakisubiri misaada ya kibinadamu kaskazini mwa Gaza limemuua pia Louay Estita, Mkurugenzi wa Klabu ya Michezo ya Gaza.
-
Majeshi ya Yemen yashambulia meli ya mafuta ya Israel katika Bahari ya Sham
Sep 01, 2025 22:54Majeshi ya Yemen yametekeleza shambulio la kombora dhidi ya meli ya mafuta ya Israel katika Bahari ya Shamu kwa kukiuka marufuku ya meli zinazokwenda katika bandari za maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na Israel, marufuku iliyowekwa na San'aa kama kielelezo cha kuonyesha mshikamano na watu wa Gaza huko Palestina.
-
Kiongozi wa Hizbullah atuma rambirambi kufuatia mauaji ya viongozi wa Yemen
Sep 01, 2025 22:46Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem, ametuma salamu za rambirambi kwa taifa la Yemen kufuatia kuuawa shahidi Waziri Mkuu wa Yemen, Ahmad Ghaleb Al-Rahawi, pamoja na mawaziri kadhaa wa serikali yake katika shambulio la anga la Israel lililofanyika hivi karibuni mjini Sanaa.
-
Gavana wa Quds: Israel inatokomeza turathi za Kiislamu chini ya msikiti wa al-Aqswa
Sep 01, 2025 08:00Gavana wa mji wa Baytul-Muqaddas inayokaliwa kwa mabavu amesema kuwa, utawala wa Kizayuni unafanya uchimbaji haramu chini ya Msikiti wa Al-Aqsa na kuharibu turathi za Kiislamu, aathari ambazo zinathibitisha uhalali wa kihistoria wa Waislamu juu ya eneo hilo takatifu.
-
Tulishindwa: Jeshi la Israel lakiri kushindwa katika shambulio kubwa dhidi ya Gaza
Sep 01, 2025 04:22Jeshi la Israel limekiri kuwa shambulio lake la mwezi Mei mwaka huu lilishindwa kutoa kipigo kwa Harakati ya Hamas katika Ukanda wa Gaza na kutwaa asilimia 75 ya eneo hilo, licha ya kuwa na wanajeshi na zana nyingi za kivita.
-
Jeshi la Israel lamuua shahidi mwandishi mwingine wa habari huko Gaza
Sep 01, 2025 04:10Mwandishi wa Televisheni ya Al-Quds Today ameuawa shahidi katika shambulizi la Israel huko Gaza na hivyo kuzidisha idadi ya waandishi wa habari waliouawa shahidi katika vita na mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Msimamo wa karibuni wa Malaysia kuhusiana na utawala wa kizayuni na jinai unazofanya Ghaza
Sep 01, 2025 03:54Malaysia imeitaka Jamii ya Kimataifa isimamishe uwanachama wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Umoja wa Mataifa na kuuwekea vikwazo vikali utawala huo ghasibu.