-
Israel na duru mpya ya mivutano ya kiusalama na Muqawama
Aug 07, 2021 21:57Hatua za karibuni za Israel nje ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu zinaonyesha kuwa utawala huo unalielekeza eneo la Magharibi mwa Asia upande wa mivutano na machafuko mapya kwa kutegemea mahesabu yake yasiyo sahihi katika nyanja tatu za kieneo, ndani na kimataifa.
-
Hamas yalaani kikao cha uhusiano wa kawaida cha PLO na utawala haramu wa Israel
Aug 07, 2021 07:33Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani vikali kikao cha wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Harakati ya Ukombozi ya Palestina (PLO), mawaziri na maafisa wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na viongozi wa utawala haramu wa Israel chenye lengo la kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo ghasibu.
-
Kikao cha Baraza la Usalama la UN kuhusu Afghanistan
Aug 07, 2021 06:58Kikao maalumu cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu machafuko yanayoendelea nchini Afghanistan kilifanyika jana Ijumaa mjini New York.
-
Imamu wa Ijumaa wa Najaf: Wananchi wa mataifa ya Waislamu hawataiacha Iran peke yake
Aug 07, 2021 02:38Imamu wa Sala ya Ijumaa wa mji mtukufu wa Najaf nchini Iraq ameashiria minong'ono ya uwezekano wa Marekani, Uingereza na utawala wa Kizayuni wa Israel kuanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na akasema, Iran haimnyenyekei yeyote yule ghairi ya Mwenyezi Mungu; na wananchi wa mataifa ya Waislamu nao pia hawatasimama pamoja na wavamizi dhidi ya Iran.
-
Hizbullah: Shambulio la Muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni ni jibu kwa uchokozi wake
Aug 06, 2021 22:40Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema: shambulio la maroketi lililofanywa jana asubuhi kulenga ardhi za Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel), lilikuwa jibu mwafaka kwa uchokozi wa siku ya Alkhamisi uliofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon.
-
Shambulio la kijeshi la Israel kusini mwa Lebanon baada ya miaka 15; sababu, malengo na matokeo yake
Aug 06, 2021 20:42Vyombo ya habari vya Palestina vilitangaza alfajiri ya kuamkia Alkhamisi kwamba ndege za kivita za jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zimeshambulia ngome kadhaa katika eneo la mpaka wa pamoja wa kusini mwa Lebanon na Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Hizbullah yasema imerusha maroketi dhidi ya kambi ya utawala za Kizayuni wa Israel
Aug 06, 2021 07:14Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa wapiganaji wake wa kituo cha Shahidi Ali Muhsin Kamel na Shahidi Muhammad Qassim Tahal wamejibu mashambulizi ya karibuni ya utawala wa Kizayni wa Israel dhidi ya ardhi ya Lebanon kwa kufurumusha maroketi kadhaa dhidi ya utawala huo.
-
Sheikh Naim Qassim: Tuhuma dhidi ya Hizbullah zina matashi ya kisiasa na lengo na kuipaka matote harakati hiyo
Aug 05, 2021 21:52Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, tuhuma za baadhi ya pande dhidi ya harakati hiyo ni za kisiasa na lengo lake ni kuipaka matope harakati hiyo.
-
Pakistan yataka kuwajibishwa India kwa jinai dhidi ya wakazi wa Kashmir
Aug 05, 2021 21:51Pakistan imeitaka jamii ya kimataifa kuiwajibisha na kuibebesha dhima New Delhi, kwa kukanyaga haki za binadamu katika eneo linalodhibitiwa na India huko Jammu na Kashmir.
-
HAMAS yautaka utawala wa Saudi Arabia uwaachilie huru mahabusu wa Kipalestina
Aug 05, 2021 08:12Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameitaka Saudi Arabia iwaachilie huru mahabusu wote Wapalestina inaowashikilia na kufunga faili lao.