-
Diab: Lebanon inakaribia kukumbwa na 'mlipuko wa kijamii'
Jul 06, 2021 23:03Kaimu Waziri Mkuu wa Lebanon Hassan Diab ameonya kuwa nchi yake inakaribia kukumbwa na 'mlipuko wa kijamii' huku uchumi wa nchi hiyo ukiendelea kuzorota kutokana na mkwamo katika uundwaji wa serikali.
-
EU: Ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaofanywa na Israel ni kinyume cha sheria
Jul 06, 2021 22:30Umoja wa Ulaya kwa mara nyingine tena umesisitiza kuwa, ujenzi wa vitongoji vya walowezi za Kizayuni unaofanywa na Israel katika ardhi ya Palestina ni haramu.
-
Kukosolewa hatua ya Imarati ya kuwapatia uraia Wazayuni
Jul 06, 2021 06:39Ikiwa ni katika mwendelezo wake wa kuimarisha uhusiano wake na utawala haramu wa Israel, serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) imechukua hatua ya kuwapatia uraia Wazayuni.
-
Hamas yalaani ushiriki wa nchi za Kiislamu katika meneva ya pamoja na utawala wa Tel Aviv
Jul 06, 2021 03:47Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa taarifa na kulaani kitendo cha baadhi ya nchi za Kiarabu cha kushiriki katika mazoezi ya kijeshi ya NATO yanayoongozwa na Marekani yakiushirikisha pia utawala wa Kizayuni wa Israel huko katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Ubalozi wa Marekani Baghdad washambuliwa kwa droni
Jul 06, 2021 03:46Baadhi ya duru za habari za Iraq zimetangaza habari ya kujiri shambulio la anga katika eneo la Kijani huko Baghdad na karibu na jengo la ubalozi wa Marekani.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar aelekea Beirut kuchunguza mgogoro wa kuunda serikali ya Lebanon
Jul 06, 2021 03:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar leo anaelekea Beirut mji mkuu wa Lebanon kwa ajili ya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo ambapo pande mbili zitachunguza mgogoro wa kisiasa unaendelea nchini humo kuhusu suala la kuasisi serikali ya Lebanon.
-
Nasrullah: Daesh ilianzishwa ili kuwasahaulisha Waislamu kadhia ya Palestina
Jul 05, 2021 22:38Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa moja kati ya malengo ya kuanzishwa kundi la kigaidi la Daesh ni kuwasahaulisha Waislamu kadhia ya ukombozi wa Palestina.
-
Hamas: Vitisho vya Gantz ni kwa ajili ya kuboresha sura ya jeshi la Israel
Jul 05, 2021 22:05Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa, vitisho vilivyotolewa na Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel vya kulishambulia tena eneo la Ukanda wa Gaza ni jaribio la kuboresha sura ya jeshi la utawala huo iliyoharibika baada ya kipigo cha karibuni cha wanamapambano wa Kipalestina.
-
Jihad Islami yalaani hatua ya Imarati ya kuwapa uraia Wazayuni 5,000
Jul 05, 2021 07:58Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imelaani hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ya kuwapa uraia Wazayuni 5,000 wa Israel ikisema hatua hiyo ni fedheha na aibu nyingine kwa "serikali ya kisaliti ya Abu Dhabi iliyofanya mapatano na utawala katili wa Israel.
-
Saudi Leaks: Saudi Arabia imezidisha hukumu za kunyoga wapinzani na wanaharakati
Jul 05, 2021 04:54Ripoti zinaonesha kuwa hukumu za kunyongwa watu zimeongezeka kwa kiwango kikubwa nchini Saudi Arabia katika kipindi cha miezi sita ya kwanza ya mwaka huu wa 2021 ikilinganishwa na mwaka jana.