-
Mapigano yajiri tena kati ya vibaraka wa Saudia na Imarati kusini mwa Yemen
Jul 05, 2021 03:45Kwa mara nyingine tena mapigano yameongezeka kati ya vibaraka wa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu kusini mwa Yemen.
-
Msichana Mpalestina ahukumiwa kifungo miezi 30 jela kwa madai ya kushirikiana na Hizbullah
Jul 05, 2021 02:35Mahakama ya utawala wa Kizayuni imeendeleza dhulma zake za kila siku kwa kumuhukumu msichana mmoja Mpalestina, kifungo cha miezi 30 jela kwa madai ya kuwa na mawasiliano na Hizbullah ya Lebanon.
-
Mamluki wa Saudia na Imarati wazidi kutwangana kusini mwa Yemen
Jul 05, 2021 01:35Televisheni ya al Alam imetangaza habari ya kupamba moto mapigano ya silaha nzito baina ya mamluki wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Saudi Arabia kusini mwa Yemen na kutoa mwanya wa kuzidi kujiimarisha magenge ya kigaidi.
-
Makamanda kadhaa wa al-Qaeda waangamizwa na jeshi la Yemen Bayda
Jul 04, 2021 22:21Jeshi la Yemen likishirikiana na vikosi vya kujitolea wananchi limeangamiza wananchama kadhaa wa kundi la al-Qaeda katika Peninsula ya Kiarabu (AQAP), wakiwemo makamanda waandamizi wa genge hilo la kigaidi.
-
Hamas: Uhusiano na Iran ni wa muda mrefu na unaendelea
Jul 04, 2021 22:09Mwanachama mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema uhusiano wa harakati hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni wa muda mrefu na kusisitiza kuwa harakati hiyo pia inataka kuboresha uhusiano na Saudi Arabia na nchi zingine zote isipokuwa utawala bandia wa Israel.
-
Sababu za kuendelea mashambulizi ya muungano vamizi wa Saudia dhidi ya wananchi wa Yemen
Jul 04, 2021 22:06Watu zaidi ya 92 wameuawa na kujeruhiwa katika mashambulio mapya yaliyofanywa na muungano vamizi wa Saudi Arabia katika mkoa wa Saada, wa kaskazini mwa Yemen.
-
Wapalestina waandamana wakitaka Mahmoud Abbas ajiuzulu
Jul 04, 2021 08:43Mamia ya Wapalestina wameandamana mjini Ramallah wakitaka Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas ajiuzulu.
-
Hamas:Israel haiwezi kubadili mlingano
Jul 04, 2021 02:46Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa, mashambulizi ya Wazayuni katika Ukanda wa Ghaza pia hayawezi kubadili mlingano.
-
Meli ya mizigo ya Israel yashambuliwa katika Bahari ya Hindi
Jul 04, 2021 02:44Moto umezuka katika meli ya mizogo ya Israel baada ya kushambuliwa kwa 'silaha isiyojulikana' ikiwa katika maji ya Bahari ya Hindi.
-
Jihadul Islami: Tunazo nguvu za kuwatimua Wazayuni katika ardhi zote za Palestina
Jul 03, 2021 22:06Kiongozi wa ngazi za juu wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesisitiza kuwa, muqawama wa wananchi wa Palestina una nguvu za kuufurusha kikamilifu utawala wa Kizayuni na walowezi wa Kizayuni katika kila shibri ya ardhi ya Palestina.