-
Wamarekani waendelea kuiba mafuta na maliasili ya Syria
Jul 03, 2021 22:06Wanajeshi vamizi na maharamia wa Marekani wanaendelea kuiba mafuta ya nchi ya Syria waliyoivamia kinyume cha sheria na kuhamisha nishati hiyo nje ya mipaka ya Syria kupitia kaskazini mwa Iraq.
-
Imarati yatakiwa iwaachie huru makumi ya wanaharakati wa kisiasa
Jul 03, 2021 08:09Shirika moja la kutetea haki za binadamu lenye makao yake nchini Uingereza limeeleza wasi wasi wake juu ya kukandamizwa kwa wanaharakati wa haki za binadamu na jinsi wanavyoteswa wakiwa magerezani katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
-
Utawala wa Israel wajeruhi waandamanaji 150 Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi
Jul 03, 2021 03:17Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewahujumu Wapalestina waliokuwa wakiandamana kwa amani dhidi ya ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika mji wa Nablus ulio katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Mahakama ya Ulaya yakataa kusikiliza kesi ya mauaji ya Yassir Arafat
Jul 02, 2021 22:14Mahakama ya Haki za Binadamu ya Ulaya (ECHR) imetupilia mbali faili la kutaka kuchunguzwa upya kifo cha kutatanisha cha Yasser Arafat, Rais wa zamani wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina.
-
Taliban yapongeza kuondoka askari wa Marekani Bagram
Jul 02, 2021 22:14Kundi la Taliban limesema Afghanistan imepiga hatua moja mbele kuelekea katika amani na uthabiti, wakati huu ambapo Marekani inawaondoa wanajeshi wake wote nchini humo.
-
Imarati yawapa uraia maelfu ya Wazayuni ndani ya miezi 3
Jul 02, 2021 22:13Raia wapatao 5,000 wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamepewa uraia na Umoja wa Falme za Kiarabu katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
-
Safari ya Lapid Imarati; juhudi za kuimarisha nafasi inayolegalega ya utawala wa Kizayuni
Jul 02, 2021 06:50Yair Lapid, Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Israel aliwasili Jumanne katika Umoja wa Falme za Kiarabu, Imarati kwa lengo la kuonana na kuzungumza na viongozi wa nchi hiyo.
-
Al Houthi: Marekani inakasirishwa na mapambano dhidi ya magaidi wa Daesh
Jul 02, 2021 06:36Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa, Marekani inafanya mazungumzo na wakati huo huo inayaunga mkono na kuyahami makundi ya kigaidi ya al Qaida na Dash na kukasirishwa na mapambano ya taifa la Yemen dhidi ya makundi hayo.
-
Imarati yapiga marufuku raia wake kutembelea nchi 8 za Afrika
Jul 02, 2021 02:12Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umewataka raia wake wasitembelee nchi 14 duniani nyingi zake zikiwa ni za barani Afrika kwa madai ya kuenea maambukizo ya kirusi cha corona.
-
Israel yaiomba Marekani iakhirishe kufungua ubalozi wake Quds
Jul 02, 2021 02:12Maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameiomba Marekani iakhirishe kufungua tena ubalozi wake mdogo huko Baytul Muqaddas hadi baadaye ili isiutie utawala huo katika mazingira magumu ya kisiasa.