-
Israel yaiomba Marekani iakhirishe kufungua ubalozi wake Quds
Jul 02, 2021 02:12Maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameiomba Marekani iakhirishe kufungua tena ubalozi wake mdogo huko Baytul Muqaddas hadi baadaye ili isiutie utawala huo katika mazingira magumu ya kisiasa.
-
Mrithi wa zamani wa kiti cha ufalme Saudia anateswa vibaya sana
Jul 01, 2021 06:31Muhammad bin Nayef, mrithi wa zamani wa kiti cha ufalme aliyefutwa kazi ameteswa vibaya sana gerezani kiasi kwamba hana uwezo wa kutembea na ananyimwa dawa za kupunguza maumivu.
-
Muungano vamizi wa Saudia waua na kujeruhi raia 20 Yemen
Jul 01, 2021 06:21Muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia umeua na kujeruhiwa raia wapatao 20 katika hujuma dhidi ya mkoa wa Sa'ada nchini Yemen.
-
Hamas yaghadhabishwa na Google, Apple kuiondoa 'Palestina' katika ramani
Jul 01, 2021 03:10Ofisi ya Habari ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imekosoa vikali hatua ya mashirika ya Kimarekani ya Google na Apple ya kuliondoa neno 'Palestina' katika ramani zao za dunia. Kwa mujibu wa mashirika hayo, hivi sasa hakuna pahala duniani panapotambulika kama Palestina.
-
Viongozi wa Hamas, Jihad Islami wakutana, wasisitiza umoja wa Palestina
Jun 30, 2021 22:53Viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na Harakati ya Jihadi Islami ya Palestina wamekutana na kusisitiza ulazima wa kuimarisha na kudumisha umoja baina ya Wapalestina.
-
Nukta sita kuhusu mashambulizi ya Marekani dhidi ya Hashdu Shaabi huko Iraq
Jun 30, 2021 21:53Ndege za kivita za Marekani siku ya Jumatatu iliyopita ziliishambulia kambi ya usaidizi na lmasuala ua lojistiki ya Brigedi ya 14 ya harakati ya wanamuqawa wa Hashdu Shaabi ya Iraq katika mpaka wa nchi hyo na Syria, ambapo katika mashambulizi hayo wapiganaji wanne wa harakati hiyo waliuliwa shahidi.
-
Sisitizo la nafasi muhimu ya vyombo vya habari vinavyounga mkono mapambano dhidi ya ubeberu
Jun 30, 2021 06:51Tehran Jumanne ya jana ilikuwa mwenyeji wa mkutano wa Jumuiya ya Redio na Televisheni za Kiislamu uliofanyika kwa kaulimbiu ya "Uadilifu wa Vyombo vya Habari na Uhuru wa Kusema".
-
Mamluki wa Saudia wauawa katika mashambulio ya makombora ya Yemen
Jun 30, 2021 06:30Makumi ya mamluki wa muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia wameuawa na kujeruhiwa katika mashambulio ya makombora ya jeshi la Yemen na makundi ya kujitolea ya Wayemen katika mkoa wa Ma'arib, katikati mwa hiyo maskini ya Kiarabu.
-
Mahmoud Abbas: Kutangaza uhusiano wa kawaida na Israel hakuwezi kuleta amani
Jun 30, 2021 01:49Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amejibu kitendo cha Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) cha kufungua rasmi ubalozi wa utawala wa Kizayuni mjini Abu Dhabi na kusema kuwa, makubaliano ya uhusiano wa kawaida kati ya nchi za Kiarabu na Israel kamwe hayawezi kuleta utulivu na amani.
-
Israel yashindwa kuficha woga wake wa kukurubiana nchi za Waislamu
Jun 30, 2021 01:49Rais wa utawala wa Kizayuni ameshindwa kuficha wahka na woga wake kutokana na kuwepo uwezekano wa nchi za Kiarabu kuelekea zaidi upande wa Iran.