-
Maafisa wa utawala wa Biden wakiri kuipakazia Hamas, wasema: Netanyahu alizuia makubaliano ya kusitisha vita
Aug 29, 2025 23:12Gazeti la Israel, The Jerusalem Post, liliripoti jana Ijumaa kwamba maafisa katika utawala wa rais wa zamani wa Marekani, Joe Biden "wamekiri kwamba Benjamin Netanyahu alizuia makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza na wala si Hamas."
-
Hamas: US ni mshiriki wa jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza
Aug 28, 2025 22:54Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema hatua ya Marekani ya kutumia turufu dhidi maazimio ya Umoja wa Mataifa "inaifanya kuwa mshiriki" wa jinai za utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Mamilioni ya Waisraeli wajificha kwenye mahandaki baada ya kombora la Yemen kulenga uwanja wa ndege
Aug 28, 2025 08:06Jeshi la Yemen limefanikiwa tena kulenga Ben Gurion, uwanja mkubwa wa ndege wa utawala wa Israel, katika operesheni mpya ya kuunga mkono Wapalestina ambayo ilisababisha makaazi ya walowezi haramu kukimbilia kwenye mahandaki huku wakiwa na hofu na wahka.
-
Uchunguzi: Akthari ya Waisrael wanaamini hakuna Mpalestina yeyote Ghaza 'asiye na hatia'
Aug 28, 2025 02:37Uchunguzi wa maoni uliofanywa na shirika moja katika utawala wa kizayuni wa Israel umefichua kuwa idadi kubwa ya Wayahudi wa Israel wanaamini kwamba hakuna watu wasio na hatia katika Ukanda wa Ghaza.
-
Kwa nini utawala wa Kizayuni hauna uwezo wa kukabiliana na mashambulizi ya makombora ya muqawama wa Yemen?
Aug 27, 2025 22:56Maafisa wa utawala wa Kizayuni wamekiri kwamba utawala huo hauna uwezo wa kukabiliana na mashambulizi ya makombora ya muqawama wa Yemen, ambayo yanalenga kwa usahihi mkubwa shabaha zilizoko katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Hamas yakadhibisha madai ya kuuawa kigaidi Khalil al-Hayya
Aug 27, 2025 06:52Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepinga madai ya utawala haramu wa Israel kwamba umemuua kigaidi Khalil al-Hayya, mmoja wa viongozi waandamizi wa kundi hilo la Muqawama.
-
Chama cha Soka Palestina: Wanasoka 355 wameuawa shahidi na Israel
Aug 27, 2025 00:46Mkuu wa Shirikisho la Soka la Palestina amekosoa uzembe wa Shirikisho la Soka Duniani FIFA na taasisi za kimataifa na kutaka kuchukuliwa hatua za haraka dhidi ya hujuma za utawala wa Kizayuni dhidi ya michezo Palestina.
-
Qatar: Mpira uko katika uwanja wa Israel; Tel Aviv haitaki kufikia mapatano
Aug 26, 2025 22:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar ameeleza kuwa, hivi sasa mpira uko katika uwanja wa utawala wa Kizayuni wa Israel na inaonekana kuwa Tel Aviv haitaki kufikia makubaliano ya usitishaji vita. Amesema hayo akizungumzia jibu lililotolewa na utawala wa Israel kwa pendekezo la wapatanishi.
-
Uchunguzi wa maoni: Wanajeshi wengi wa Israel wanapinga kuendelezwa mashambulizi dhidi ya Gaza
Aug 26, 2025 22:59Kwa mujibu wa matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uuliyochapishwa Jumatatu wiki hii na Taasisi ya Utafiti ya Agam, Wazayuni walio wengi wanakubaliana kwa kauli moja katika suala la kuhitimishwa vita vya Gaza na kufikia makubaliano ya kina na harakati ya Hamas.
-
Taarifa ya mwisho ya mkutano wa OIC yapinga mpango wa "Israel Kubwa"
Aug 26, 2025 11:43Taarifa ya mwisho ya mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu imesisitiza upinzani dhidi ya matamshi ya kutowajibika ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kuhusu dira ya "Israel Kubwa."