-
Taarifa ya mwisho ya mkutano wa OIC yapinga mpango wa "Israel Kubwa"
Aug 26, 2025 11:43Taarifa ya mwisho ya mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu imesisitiza upinzani dhidi ya matamshi ya kutowajibika ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kuhusu dira ya "Israel Kubwa."
-
Israeli yaua mwandishi mwingine wa habari Mpalestina
Aug 26, 2025 04:27Jeshi la Israel lilimshambulia kwa risasi mwandishi wa habari Mpalestina katika eneo la kusini la Gaza, masaa machache baada ya yeye mwenyewe kutoa heshima kwa wenzake watano waliouawa katika mashambulizi ya awali ya Israel.
-
Mkutano wa OIC mjini Jeddah wahimiza hatua ya pamoja kumaliza mauaji ya kimbari Gaza
Aug 26, 2025 02:32Mkutano wa dharura wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama wa Shirika la Ushirikiano la Kiislamu (OIC) ulianza Jumatatu mjini Jeddah, Saudi Arabia, ambapo washiriki wamesisitiza umuhimu wa kuchukuliwa hatua ya pamoja kwa ajili ya kusaidia Gaza na Palestina.
-
Hizbullah na Amal zatoa wito wa maandamano makubwa ya kupinga kupokonywa silaha makundi ya muqawama
Aug 25, 2025 23:24Harakati za muqawama za Hizbullah na Amal za Lebanon zimetoa wito kwa wafuasi wao kujitokeza kwa wingi katika mitaa ya Beirut mji mkuu wa nchi hiyo ili kupinga maamuzi ya hivi karibuni ya baraza la mawaziri ya kuyapokonya silaha makundi ya Muqawama.
-
Je, inatosha kwa nchi za Magharibi kulaani kwa maneno matupu jinai za utawala wa Israel?
Aug 25, 2025 23:12Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi 21 za Magharibi kwa pamoja wamelaani uamuzi wa Israel wa kujenga makaazi mapya ya walowezi wa Kizayuni huko Quds Mashariki.
-
Hamas, Jihadul Islami zalaani uvamizi wa kifashisti wa Israel dhidi ya Yemen
Aug 25, 2025 07:14Harakati za Muqawama wa Kiislamu za Palestina za Hamas na Jihadul Islami zimeshutumu vikali mashambulizi mabaya ya Israel dhidi ya mji mkuu wa Yemen na miundombinu ya kiraia, na kuyaelezea kama "ukiukwaji wa wazi wa sheria za kimataifa" na gharama ya kuilinda Palestina.
-
Israel yaendelea kumwaga damu za wanahabari Gaza, yaua wengine 4
Aug 25, 2025 07:06Kwa akali wanahabari wanne wa Kipalestina, akiwemo mpiga picha wa televisheni ya Al-Jazeera, ni miongoni mwa watu 15 waliouawa shahidi katika shambulio jipya la Israel dhidi ya hospitali moja iliyoko kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Tangu Agosti 6, jeshi la Israel limebomoa kikamilifu majengo zaidi ya 1,000 ya Mji wa Ghaza
Aug 25, 2025 03:29Shirika la Ulinzi wa Raia la Palestina limetangaza kuwa jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limebomoa kikamilifu majengo zaidi ya 1,000 katika vitongoji vya Zeitoun na Sabra katika Mji wa Ghaza tangu lilipoanza kuuvamia mji huo mnamo Agosti 6, na hivyo kupelekea mamia ya Wapalestina kunasa chini ya vifusi vya majengo hayo.
-
Mawaziri wa kizayuni watoa msimamo kuhusu Ghaza: "Wazingireni, waacheni wafe kwa njaa"
Aug 25, 2025 03:08Mawaziri wa utawala wa kizayuni wa Israel wenye misimamo mikali ya chuki wametetea waziwazi hatua ya kuwatesa kwa njaa Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza.
-
OIC leo inajadili mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza na kuunganisha pamoja misimamo
Aug 24, 2025 23:29Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) wanafanya mkutano wa dharura leo Jumatatu katika mji wa Jeddah nchini Saudi Arabia kujadili vita vya mauaji ya kimbari vya Israel huko Gaza na kuunganisha misimamo yao kuhusu mauaji yanayofanywa na Israel katika ukanda huo.