-
Shambulio la kinyama la Israel laua mume mlemavu, mke mjamzito na binti wa miaka mitatu
May 20, 2021 23:06Shambulio la kinyama lililofanywa na ndege za kivita za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwa kulenga nyumba ya familia moja katika Ukanda wa Gaza, limewaua shahidi mume mtu ambaye ni mlemavu, mke wake mjamzito na mtoto wako wa kike mwenye umri wa miaka mitatu.
-
Ofisi 33 za waandishi wa habari zashambuliwa na utawala wa Kizayuni Ukanda wa Ghaza
May 20, 2021 07:20Mkuu wa Ofisi ya Upashaji Habari ya Serikali katika Ukanda wa Ghaza imeripoti kuwa, ofisi 33 za taasisi za vyombo vya habari zimeshambuliwa na utawala katili wa Kizayuni katika ukanda huo.
-
Wakuu wengine wawili wa magenge ya kigaidi waangamizwa nchini Yemen
May 20, 2021 07:16Duru moja ya usalama ya Yemen imetangaza habari ya kuangamizwa wakuu wengine wawili wa magenge ya kigaidi nchini humo.
-
Hamas: Tunatangaza ushindi, Netanyahu ameshindwa vibaya
May 20, 2021 03:18Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza ushindi katika mapambano ya siku 10 dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambao umevamia Ukanda wa Ghaza na kuongeza kwamba waziri mkuu wa utawala huo Benjamni Netanyahu ameshindwa vibaya katika makabiliano hayo.
-
Silaha mpya za Marekani kwa utawala wa Israel; hatua nyingine ya kuendeleza mauaji dhidi ya Wapalestina
May 19, 2021 22:23Sambamba na kufikia kilele jinai za utawala wa kigaidi wa Israel dhidi ya Wapalestina, serikali ya Rais Joe Biden wa Marekani umeamua kuuzia utawala huo silaha mpya na za kisasa kabisa zenye thamani ya dola milioni 735.
-
Maelfu waandamana Indonesia kulaani jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
May 19, 2021 06:54Maelfu ya wananchi wa Indonesia wameandamana ambapo mbali na kutangaza kuwaunga mkono wananchi wa Palestina wamelaani pia jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya wananchi hao wasio na hatia.
-
Utawala wa Kizayuni wabomoa kikamilifu misikiti mitatu Gaza
May 19, 2021 06:53Utawala wa Kizayuni wa Israel mbali na kufanya mauaji dhidi ya Wapalestina katika hujuma na mashambulio yake ya kinyama yanayoendelea, umebomoa kikamilifu misikiti mitatu katika Ukanda wa Gaza.
-
Sababu za mapambano ya kishujaa ya Wapalestina katika vita na utawala wa Israel
May 19, 2021 04:48Sambamba na kuanza wiki ya pili ya hujuma ya kinyama ya utawala wa kigaidi wa Israel dhidi ya Wapalestina wanaoishi katika Ukanda wa Gaza, Wapalestina wameomyesha mapambano ya kipekee na ya aina yake dhidi ya maghasibu wa Kizayuni na hivyo kuuacha kinywa wazi pamoja na waungaji mkono wake wa kimataifa.
-
Ndege za kivita na mizinga ya utawala wa Kizayuni yaendelea kuteketeza roho za Wapalestina Gaza
May 19, 2021 03:17Kwa mara nyingine tena, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeendeleza jinai zake dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina kwa kushambulia maeneo kadhaa ya Ukanda wa Gaza kwa makombora ya mizinga na ya ndege za kivita.
-
Palestina: Haiyumkiniki kuendelea kuishi chini ya utawala wa ubaguzi wa Apathaidi wa Kizayuni wa Israel
May 19, 2021 02:00Mwakilishi wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema, hakuna uwezekano wa kuendelea kuishi chini ya utawala wa Kizayuni wa ubaguzi wa Apathaidi.