-
Wazayuni: Hatujawahi kushambuliwa kwa idadi kubwa ya makombora kama mara hii
May 19, 2021 00:06Msemaji wa lugha ya Kiarabu wa jeshi la utawala katili wa Kizayuni usiku wa kuamkia leo amekiri kwamba utawala huo dhalimu haujawahi kushambuliwa kwa idadi kubwa ya makombora na makundi ya muqawama kama unavyoshambuliwa hivi sasa.
-
Wimbi la Wazayuni wanaoikimbia Tel Aviv kukwepa makombora ya muqawama lazidi kuwa kubwa
May 18, 2021 22:44Vyombo vya habari vimetangaza kuwa, wimbi la Wazayuni wanaokimbia mji mkuu wa Israel Tel Aviv kutokana na mashambulizi ya wanamapambano wa Palestina linazidi kuwa kubwa, siku baada ya siku.
-
UN: Maelfu ya wakazi wa Gaza wamekimbia makazi na nyumba zao
May 18, 2021 01:47Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, makumi ya maelfu ya wakazi wa eneo la Ukanda wa Gaza wamelazimika kukimbia nyumba zao kutokana na mashambulizi yanayoendelea kufanywa na utawala wa kizayuni wa Israel katika eneo hilo.
-
Mamia ya Maelfu ya Wayemen waandamana kuwaunga mkono ndugu zao Wapalestina + Video
May 17, 2021 22:21Maandamano makubwa ya kuliunga mkono taifa linalodhulumiwa la Palestina na mapambano yake ya ukombozi, yamefanyika huko San'a, mji mkuu wa Yemen.
-
Wanamapambano wa Palestina waendelea kujibu jinai za Wazayuni kwa siku ya nane
May 17, 2021 09:06Makundi ya muqawama ya Palestina leo Jumatatu yameendelea kujibu jinai za utawala wa Kizayuni kwa kuyatwangwa kwa makombora na maroketi maeneo mbalimbali ya walowezi wa Kizayuni kama vile al Asqakalan (Ashkelon) na kambi ya kijeshi ya Wazayuni ya Kissufim.
-
Haniya: Mapambano ya kukomboa Palestina yamefika nukta muhimu katika historia
May 17, 2021 08:32Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema mapambano ya sasa Ghaza ni nutka ya kihistoria ambayo inathibitisha kuwa mapambano na muqawama ndio njia pekee ya kukomboa ardhi za Palestina na kurejesha haki za taifa hilo.
-
MSF: Gaza inasumbuliwa na uhaba wa dawa na huduma za tiba
May 17, 2021 02:01Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limetangaza kuwa, eneo la Ukanda wa Gaza linasumbuliwa na uhaba mkubwa wa dawa kutokana na mashambulizi ya jeshi la utawala wa Israel na mzingiro wa utawala huo dhidi ya eneo hilo.
-
Badala ya kulaani jinai za Israel; Imarati ndio kwanza yatoa vitisho kwa Wapalestina
May 16, 2021 07:27Huku jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel zikizidi kuwa kubwa dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Palestina hasa wa Ukanda wa Ghaza, chombo kimoja cha habari cha utawala wa Kizayuni kimefichua kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umeonesha uungaji mkono wake kwa jinai hizo za Wazayuni kupitia kutoa vitisho vipya dhidi ya Wapalestina.
-
Jinai za Israel Ghaza; matokeo ya kimya cha nchi za Kiislamu na wale wanaodai kuteteta haki za binadamu duniani
May 16, 2021 05:36Ali Baqeri Kani, Katibu wa Tume ya Haki za Bianadamu ya Idara ya Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria jinai zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel katika ardhi za Wapalestina unazozikalia kwa mabavu na hasa Ukanda wa Ghaza na kuhoji, je, ni jinai gani nyingine inapaswa kufanywa na Wazayuni ili Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu OIC, ifanye kikao cha kujadili suala hilo?
-
UN yashindwa tena kulaani jinai za Israel huko Gaza, yatosheka kwa kueleza masikitiko
May 16, 2021 02:13Sambamba na mashambulizi makali na ya kinyama yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya makazi ya raia wa Ukanda wa Gaza, na mauaji ya raia katika eneo hilo, Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena umeshindwa kuchukua hatua ya maana ya kusimamisha mashambulizi hayo au hata kulaani kwa maneno hujuma na ukatili huo wa Israel.