-
Israel inatumia gesi ya sumu dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza
May 16, 2021 00:01Msemaji wa wizara ya afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza amesema, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unatumia gesi ya sumu dhidi ya watu wa eneo hilo. Amesema, hilo limebainika baada ya kuchunguzwa baadhi ya maiti za wahanga wa mashambulio ya utawala huo.
-
Utendaji wa mataifa ya Kiarabu kuhusiana na vita vya Quds
May 15, 2021 23:34Vita vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza vilianza Jumatatu iliyopita.
-
Tel Aviv na Ashdod zashambuliwa kwa makumi ya makombora kujibu jinai ya mauaji ya halaiki ya Shat'i
May 15, 2021 09:52Brigedi za Izzuddin al Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS zimefyatua makumi ya makombora kulenga mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Tel Aviv na wa bandari wa Ashdod kujibu jinai ya mauaji ya halaiki yaliyofanywa na jeshi la utawala huo haramu katika kambi ya wakimbizi wa Kiplaestina ya Shat'i.
-
Al Houthi: Badala ya Yemen, Saudia iushambulie utawala wa Kizayuni unaowavurumishia makombora Wapalestina
May 15, 2021 09:14Mjumbe wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen ameitaka Saudi Arabia isimamishe mashambulio na uchokozi wake dhidi ya Yemen na badala yake ielekeze mashambulio hayo kwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unaoyahujumu kwa makombora maeneo ya Wapalestina.
-
Jinai mpya za Wazayuni; Israel yaua kwa umati familia ya watu saba Ghaza
May 15, 2021 03:08Utawala wa Kizayuni unaendelea kufanya jinai za kinyama na za kutisha dhidi ya Wapalestina. Habari za karibuni kabisa zinasema kwamba utawala huo katili umeua kwa umati familia ya watu saba magharibi mwa mji wa Ghaza katika shambulio lake la anga. Watu hao waliouliwa kikatili na Wazayuni ni wanawake watano na watoto wadogo wawili
-
Vita vya "Saifel Quds" na maafa yake kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
May 15, 2021 00:00Siku kadhaa zimepita tangu kuanza vita vya Israel na muqawama wa Palestina vinavyojulikana kwa jina la "Saifel Quds" na ingawa kutokana na ukatili wake usio na kifani, utawala wa Kizayuni unasababisha hasara kuwba za roho na mali za Wapalestina kwa kushambulia makazi ya watu, lakini vita hivyo ni kengele ya hatari kwa Israel kwa ushahidi mbalimbali.
-
Netanyahu azishukuru Marekani, Ufaransa, Uingereza na Ujerumani kwa kuunga mkono jinai za Israel
May 14, 2021 23:59Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amewashukuru na kuwapongeza marais Joe Biden wa Marekani na Emmanuel Macron wa Ufaransa, Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson na Kansela Angela Merkel wa Ujerumani kwa kuunga mkono utawala huo dhalimu katika jinai unazoendelea kufanya dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Makumi ya Walebanon wavuka mpaka na kuingia Palestina inayokaliwa kwa mabavu
May 14, 2021 23:56Vyombo vya habari vimeripoti kuwa makumi ya Walebanon wamevunja uzio wa mpaka wa pamoja wa nchi hiyo na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopewa jina la Israel na kuingia katika ardhi hizo kuonyesha uungaji mkono wao kwa wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.
-
Makumi ya maelefu ya Wapalestina washiriki Swala ya Ijumaa Al Aqsa
May 14, 2021 23:00Makumi ya maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Swala ya Ijumaa jana katika Msikiti wa Al Aqsa pamoja na kuwepo vizingiti vilivyowekwa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hania awataka Waislamu, watu huru duniani kutetea Msikiti wa al Aqsa
May 14, 2021 04:28Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameutaka Umma wa Kiislamu na Kiarabu kufanya maandamano na mikutano ya kutetea na kuunga mkono Msikiti wa al Aqsa na watu wa Palestina.