-
Maafisa wa Intelijensia wa Saudia wakutana na Rais Bashar al Assad wa Syria
May 04, 2021 03:41Duru za habari zimeripoti kuwa ujumbe maalumu wa serikali ya Saudi Arabia umeelekea Syria, ambako umekutana na kufanya mazungumzo na Rais Bashar al Assad wa nchi hiyo.
-
Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah atilia mkazo umuhimu wa Siku ya Kimataifa ya Quds
May 03, 2021 22:55Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran uliopatikana kwa uongozi wa Imam Khomeini (MA), kiongozi huyo alisema, Siku ya Quds ni siku ya Uislamu na Siku ya Walionyongeshwa duniani.
-
Israel imebomoa makumi ya majengo ya Wapalestina mjini Quds
May 03, 2021 21:03Shirika huru la kutetea haki za binadamu limesema utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa majengo 58 ya Wapalestina katika mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem) tokea mwanzoni mwa mwaka huu hadi sasa.
-
Wafanyakazi wa Yemen; wahanga wakuu wa hujuma ya muungano wa Saudia
May 03, 2021 21:02Licha ya kuwa vita vya muungano wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen vimekuwa na wahanga wengi lakini takwimu zinaonyesha kwamba wafanyakazi ndio wahanga wakuu wa vita hivyo.
-
Njama za UNICEF za "kurubuni" watoto wa Yemen zagunduliwa al Hudaydah
May 03, 2021 03:20Maafisa wa Yemen katika mkoa wa al Hudaydah wamegundua shehena iliyotumwa na Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) kama zawadi kwa waototo wa Yemen ambayo ina mifuko ya shule na ramani zinazoutambua rasmi utawala haramu wa Israel badala ya Palestina.
-
HAMAS: Adui Mzayuni amelenga kuuhujumu utambulisho wa Quds inayokaliwa kwa mabavu
May 02, 2021 22:17Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani upanuzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaofanywa na utawala haramu wa Israel katika mji wa Baitul Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu na kueleza kwamba, kwa hatua zake hizo, adui Mzayuni amelenga kuuhujumu utambulisho wa Kipalestina wa mji huo wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
Utawala wa Al Khalifa Bahrain unatumia mbinu ya utesaji kuzima mgomo wa wafungwa wanaosusia kula
May 02, 2021 07:34Vikosi vya usalama vya utawala wa Aal Khalifa vimepanga kutumia nguvu na utesaji dhidi ya wafungwa Wabahrain sambamba na kuwapiga na kuwatusi ili kuzima mgomo wa kususia kula ulioanzishwa na wafungwa hao.
-
Kinara wa magaidi wa ISIS na muitifaki wa Saudia auawa Ma’rib, Yemen
May 02, 2021 03:38Jeshi la Yemen limefanikiwa kumuua kinara wa magaidi wa Daesh ambaye pia ni muitifaki mkubwa wa muungano vamizi wa Saudia katika mkoa wa Ma’rib.
-
Katibu Mkuu wa UN Guterres alaani hujuma ya kigaidi Afghanistan
May 02, 2021 03:16Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amelaani vikali hujuma ya kigaidi katika eneo la Puli-e-Alam, jimbo la Logar nchini Afghanistan.
-
Aprili pekee, Wapalestina 270 wamekamatwa na kuhamishwa baada kubomolewa nyumba zao
May 01, 2021 21:53Katika mwezi mmoja tu uliopita wa Aprili, askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wameshadidisha hujuma na mashambulio katika mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem) na msikiti mtukufu wa Al Aqsa; na katika kipindi hicho wamewakamata na kuwahamisha katika nyumba zao Wapalestina zaidi ya 270.