-
Mufti wa Oman: Katika mwezi huu wa Ramadhani, Waislamu wasiisahau Quds, Masjidul Aqsa na Gaza
May 01, 2021 21:52Mufti wa Oman Sheikh Ahmed bin Hamad al Khalili amesisitiza kuwa katika masiku ya mwezi huu wa Ramadhani Waislamu wasiisahau Quds, Msikiti wa Al Aqsa na Gaza.
-
Sababu na radiamali za kuakhirishwa uchaguzi wa Palestina
May 01, 2021 05:50Hatua ya Rais Muhmous Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ya kuakhirisha uchaguzi wa nchi hiyo imekabiliwa na radiamali tofauti za makundi ya kisiasa ya Palestina.
-
Ismail Hania: Kuakhirisha uchaguzi ni kupora haki ya kisiasa ya Wapalestina
May 01, 2021 03:33Ismail Hania, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina amesisitiza kuwa, kuakhirisha uchaguzi wa Palestina maana yake ni kupora haki ya kisiasa ya wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Ehud Olmert: Kuna uwezekano wa kutokea Intifadha mpya ya Wapalestina
May 01, 2021 03:30Ehud Olmert, Waziri Mkuu wa zamani wa utawala haramu wa Israel ametahadharisha juu ya uwezekano wa kutokea Intifadha mpya ya Wapalestina.
-
Hamas: Uamuzi wa kuakhirisha uchaguzi ni mapinduzi dhidi ya maamuzi ya Wapalestina
Apr 30, 2021 22:03Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepinga vikali uamuzi uliochukuliwa na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas wa kuakhirisha uchaguzi mkuu na imeutambua uamuzi huo kuwa ni mapinduzi dhidi ya mchakato wa kuwepo ushirikiano baina ya harakati ya makundi ya kupigania uhuru wa Palestina na maafikiano ya kitaifa.
-
UN: Yemen inasumbuliwa na mgogoro mbaya zaidi wa binadamu duniani
Apr 30, 2021 22:03Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya kibinadamu amesema kuwa, Yemen inasumbuliwa na maafa ya binadamu na kwamba kwa sasa nchi hiyo inapita katika mgogoro mbaya zaidi uliowahi kushuhudiwa duniani.
-
Abbas aakhirisha uchaguzi wa bunge Palestina, ghasia zaibuka
Apr 30, 2021 07:19Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas ametangaza rasmi kuakhirisha uchaguzi wa bunge la Palestina uamuzi ambao umeibua hasira na ghasia.
-
Wazayuni karibu 50 waangamia baada ya kukanyagana katika mjumuiko wa kidini
Apr 30, 2021 06:53Wazayuni karibu 50 wameangamia baada ya kukanyagana katika mujumuiko wa kidini uliokuwa umehudhuriwa na makumi ya maelefu ya watu kaskazini mwa Israel.
-
Kubadilika kikamilifu misimamo ya Saudia kuhusiana na Iran; sababu zake na jinsi kulivyopokelewa
Apr 30, 2021 04:28Mohammad bin Salman, mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, amebadilisha kikamilifu na waziwazi msimamo wake kuhusiana na Iran kwa kusema: Iran ni nchi jirani; na Riyadh ina matumaini kwamba itaweza kuwa na uhusiano mzuri na Tehran.
-
Russia yakosoa vikali mbinyo unaofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina huko Quds
Apr 30, 2021 03:27Maria Zakharova, msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Russia amekosoa vikali hatua za utawala haramu wa Israel za kuwawekea mbinyo na kuwatatiza Wapalestina wanaokwenda kutekeleza ibada ya Swala katika msikiti wa al-Aqswa.