-
Ripoti: Watu wenye ulemavu wazidi kuongezeka Gaza
Aug 18, 2025 04:44Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Mediterranean Human Rights Watch limeonya kuhusu ongezeko la watu wenye ulemavu katika vita vya Ukanda wa Gaza.
-
Israel yaua Wapalestina wengine 60, yashadidisha ukatili wake 'Gaza City'
Aug 18, 2025 03:13Jeshi la Israel limeshadidisha mashambulizi katika Jiji la Gaza kama sehemu ya operesheni zake zilizopanuliwa zenye lengo la kuteka na kukalia kwa mabavu eneo hilo la 'mwisho' lenye idadi kubwa ya watu katika Ukanda wa Gaza, na kulazimisha makumi ya maelfu ya Wapalestina wanaokabiliwa na njaa kukimbia tena.
-
Hamas: Israel imeingia katika marhala mpya ya mauaji ya kimbari Gaza
Aug 17, 2025 23:57Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani vikali mpango wa Israel wa kukalia kwa mabavu Jiji la Gaza na kuwahamisha kwa nguvu wakazi wake na kusisitiza kuwa, huo ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.
-
Familia za mateka Waisrael zaanzisha mgomo wa nchi nzima kupinga upanuzi wa vita dhidi ya Ghaza
Aug 17, 2025 23:24Gazeti la Times of Israel limeripoti kuwa familia na waungaji mkono wa mateka Waisrael wameanza mgomo wao wa nchi nzima ili "kupinga upanuzi wa vita katika Ukanda wa Ghaza badala ya kusaini makubaliano ya kufanikisha kuachiliwa huru mateka hao wanaoshikiliwa na Hamas".
-
Tokea wizi wa maji hadi propaganda dhidi ya Iran; je, Israel inafichaje matatizo yake ya maji?
Aug 17, 2025 08:45Felice Friedson, Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa The Media Line, mnamo Agosti 15, mwaka huu aliandika makala, yenye kichwa cha habari kisemacho "Tehran, Amka: Teknolojia ya Maji ya Israel, Sio Mabomu ya Nyuklia, Bali ni Daraja la Amani."
-
Mkuu wa zamani wa Intelijensia wa Israel: Kufa watu wengi Ghaza ni 'lazima', ni ujumbe kwa vizazi vijavyo
Aug 17, 2025 07:53Mkuu wa zamani wa idara ya intelijensia ya jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel, ambaye alijiuzulu mwaka jana kwa kushindwa kuzuia mashambulizi ya Oktoba 7, amesema Wapalestina wanahitaji kufikwa na Nakba "kila baada ya muda fulani" na kwamba kuongezeka idadi ya vifo huko Ghaza ni kitu cha "lazima".
-
Umoja wa Mataifa waonya juu ya kuibuka magonjwa ya kuambukiza Gaza
Aug 17, 2025 03:46Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, kushadidi wimbi la joto na kuendelea mashambulizi ya utawala ghasibu wa kizayuni kutapelekea kuenea magonjwa ya kuambukiza katika Ukanda wa Gaza.
-
Mchambuzi mtajika wa Ulimwengu wa Kiarabu: Njama ya kuwahamisha wakazi wa Ghaza kwa nguvu itafeli
Aug 17, 2025 03:09Abdul Bari Atwan, mchambuzi mashuhuri katika Ulimwengu wa Kiarabu amezungumzia hatua za hivi karibuni nza utawala wa Kizayuni wa Israel za kufanya mazungumzo na nchi kadhaa ili kuzishawishi zikubali kuwapokea Wapalestina wa Ghaza baada ya kuwahamisha kwa nguvu katika ardhi yao, na kusisitiza kwamba, kutokana na istiqama na msimamo thabiti wa Wapalestina wa Ghaza, hatima ya njama hiyo ya Tel Aviv itakuwa ni kugonga mwamba tu.
-
Je, nini hatima ya kuipokonya silaha Hizbullah ya Lebanon?
Aug 17, 2025 01:51Katika wiki za hivi karibuni, mpango wa kuipokonya silaha Hizbullah nchini Lebanon umewasilishwa kwa mashinikizo ya Marekani na uungaji mkono wa utawala ghasibu wa Israel.
-
IUMS: Mpango wa "Israel Kubwa Zaidi" ni tisho kwa Umma wa Kiislamu
Aug 16, 2025 22:56Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) umelaani vikali mpango unaoitwa "Israel Kubwa Zaidi" na kuutaja kuwa ni mpango wa kikoloni dhidi ya umma mzima wa Kiislamu na kutaka kuweko umoja wa nchi za Kiislamu na uungaji mkono wao kwa watu wa Palestina.