-
Nidhamu ya kisiasa na kiusalama ya Asia Magharibi 2020 na muelekeo tarajiwa wa 2021
Jan 01, 2021 22:08Baada ya kumalizika mwaka 2020 na kuanza mwaka mpya wa 2021 suali linaloulizwa ni, nidhamu ya kisiasa na kiusalama ya eneo la Asia Magharibi katika mwaka uliopita ilikuwaje; na muelekeo tarajiwa wa hali ya eneo hili katika mwaka huu wa 2021 utakuwa upi?
-
Tutu: Biden aache kuficha na kufadhili silaha za nyuklia za Israel
Jan 01, 2021 09:53Katibu Mkuu wa zamani wa Baraza la Makanisa ya Afrika Kusini Askofu Desmond Tutu amemtaka rais mteule wa Marekani Joe Biden kuacha kukingia kifua silaha za nyuklia za Israel na kusitisha ufadhili mkubwa wa Washington kwa miradi ya silaha za nyuklia ya utawala huo.
-
Watoto 170 wa Palestina wamefungwa jela huko Israel mwaka 2020
Jan 01, 2021 09:51Kamati ya Masuala ya Matekani wa Palestina imetangaza kuwa, watoto 170 wa Kipalestina walifungwa katika jela za utawala wa Kizayuni wa Israel mwaka 2020.
-
Sheikh Ali Salman; kutolewa hatiani na hatimaye kuhukumiwa kifungo cha maisha jela na utawala wa Bahrain
Jan 01, 2021 06:40Sambamba na kutimia mwaka wa sita tangu Sheikh Ali Salman awekwe korokoroni, wananchi wa Bahrain wameandamana kutaka Katibu Mkuu huyo wa harakati ya Kiislamu ya Al-Wifaq ya nchi hiyo aachiiwe huru.
-
Rais Mahmoud Abbas: Wapalestina hawatasalimu amri mbele ya uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel
Jan 01, 2021 04:32Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza kuwa, taifa la Palestina katu halitasalimu amri mbele ya hatua za kivamizi za utawala haramu wa Israel.
-
Yemen: Umoja wa Mataifa ni mshirika wa jinai za muungano wa kigaidi unaoongozwa na Saudi Arabia
Jan 01, 2021 04:29Kiongozi mmoja wa Yemen amesisitiza kuwa, Umoja wa Mataifa ni mshirika wa jinai za muungano vamizi unaoongozwa na Saudia ambao umekuwa ukitenda jinai kila uchao dhidi ya wananchi wa Yemen.
-
Sheikh Naim Qassim: kuuliwa kigaidi shahid Suleimani kumedhihirisha kilele cha udhaifu wa Marekani katika eneo
Dec 31, 2020 04:06Sheikh Naim Qassim amesema kuwa Marekani imemuuwa kigaidi Luteni jenerali Haji Qassem Suleimani nchini Iraq kutokana na kuwa dhaifu.
-
Watu 28 wameuliwa katika shambulio la magaidi wa Daesh nchini Syria
Dec 31, 2020 04:01Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, makumi ya raia wa Syria wameuawa na kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi lililofanywa nchini humo jana Jumatano.
-
Kivuli cha Qassem Soleimani chawaandama na Wazayuni
Dec 30, 2020 21:05Hatua ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ya kuweka bango kubwa la picha ya Shahidi Qassem Soleimani, katikati ya mji wa Ghaza kimeutia hofu na woga mkubwa utawala wa Kizayuni.
-
Malengo ya manuva ya pamoja ya makundi ya muqawama katika Ukanda wa Ghaza
Dec 30, 2020 21:01Manuva ya pamoja ya makundi 12 ya muqawama chini ya anuani ya " Ar-Ruknu-Shadiid" yaani "Nguzo Imara yalianza juzi Jumanne katika Ukanda wa Ghaza. Hii ni mara ya kwanza ambapo makundi mbalimbali ya muqawama ya Palestina yanafanya manuva ya pamoja katika Ukanda wa Ghaza.