-
Yemen yafanya shambulio la aina yake la kombora la 'Hypersonic' Tel Aviv, lawatimua wazayuni
Sep 29, 2025 07:15Msemaji wa Vikosi vya Ulinzi vya Yemen Brigedia Jenerali Yahya Saree amesema, jeshi la nchi hiyo limefanya operesheni maalumu ya shambulizi kwa kutumia kombora la 'hypersonic' aina ya Palestina 2 ndege zisizo na rubani dhidi ya miji ya Tel Aviv na Eilat ya utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Ripoti: Theluthi moja ya watoto wa Gaza hawali chakula kila siku
Sep 29, 2025 03:51Shirika la Umoja wa Mataifa la Msaada kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza kuwa, theluthi moja ya watoto huko Gaza hawapati chakula cha kutosha cha kula kwa siku.
-
Hamas: Hatujapokea mapendekezo yoyote mapya kutoka kwa wapatanishi
Sep 28, 2025 22:48Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetangaza kuwa, haijapokea mapendekezo yoyote mapya kutoka kwa wapatanishi na iko tayari kuzingatia mapendekezo yatakayotolewa kama yatakuwa na maana ya kuzingatiwa na kama yatakuwa na nguvu za uwajibikaji.
-
Vipi Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limefikia natija ya kufanyika mauaji ya kimbari huko Gaza?
Sep 28, 2025 22:46Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limetangaza hatua za Israel huko Gaza kuwa ni mfano wa kisheria wa "mauaji ya halaiki."
-
Abdulmalik al Houthi: Nasrallah bado ni jinamizi kwa Israel
Sep 28, 2025 03:33Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen, Abdulmalik al-Houthi amesemam kuwa kiongozi wa muqawama wa Lebanon shahidi Sayyid Hassan Nasrallah bado ni jinamizi kwa Israel ingawa aliuawa na utawala huo mwaka mmoja uliopita.
-
Sheikh Naim Qassem: Kama alivyokuwa Shahidi Nasrullah hatutaweka chini katu silaha za Muqawama
Sep 28, 2025 00:05Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem, amehutubia mjini Beirut maadhimisho ya mwaka wa kwanza wa kuuawa shahidi Sayyid Hassan Nasrullah na Sayyid Hashem Safiyyuddin na kumhutubu Shahidi Nasrullah kwa kusema: "Ewe Nasrullah, kama ulivyotufunza, hatutaziacha katu silaha za Muqawama."
-
Wapalestina wengine 40 wauawa na Israel katika Ukanda wa Gaza
Sep 27, 2025 23:00Kwa akali Wapalestina 40 wameuawa shahidi katika Ukanda wa Gaza tangu alfajiri ya Jumamosi.
-
Kwa nini kuadhibiwa katika uga wa michezo ni hatua muhimu ya kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni?
Sep 27, 2025 22:57Kufuatia kuongezeka mashinikizo ya kimataifa kwa serikali na taasisi za Ulaya ili kutoa jibu kali kwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza, Shirikisho la Soka Barani Ulaya (UEFA) wiki ijayo litakuwa na kikao kujadili suala la kuziweka kando timu zote za kandanda za Israel katika mashindano ya kimataifa na vilabu ya UEFA.
-
Hamas: Uongo wa Netanyahu UN ulilenga kuonesha Wapalestina ni mashetani, Muqawama utaendelea
Sep 27, 2025 06:54Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imemlaani Benjamin Netanyahu na hotuba yake iliyojaa uongo kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kusisitiza kuwa, lengo la uongozo huo wa Netanyahu ni kuonesha Muqawama wa Wapalestina ni ushetani na eti Wapalestina wanataka kuwaangamiza Mayahudi lakini uongo huo hautozuia kuendelea Muqawama wa Wapalestina.
-
Rais wa Bolivia: Marekani na Israel ‘zinatekeleza mauaji ya kimbari’ Gaza
Sep 26, 2025 07:26Rais wa Bolivia, Luis Arce, amekemea vikali Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kusababisha maumivu na vifo duniani kote na “kutekeleza mauaji ya kimbari” katika Ukanda wa Gaza uliokuwa umezingirwa.