-
Saudi Arabia yaruhusu Umra kwa mahujaji wa kigeni
Nov 01, 2020 03:05Serikali ya Saudi Arabia imewaruhusu mahujaji kutoka nje kuingia nchini humo kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Umra baada ya kufungwa mwezi Machi mwaka huu kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.
-
Kuvunjiwa heshima Mtume SAW na Magharibi; kulivyoanzia, sababu zake na msimamo wa Ulimwengu wa Kiislamu
Oct 31, 2020 04:34Kitendo cha jarida moja la Ufaransa na rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron cha kumvunjia heshima Bwana Mtume Muhammad SAW kimekabiliwa na wimbi kubwa la hisia za uchungu katika Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Sayyid Nasrullah: Magaidi hawana uhusiano na Mtume, nchi za Magharibi ziache kuwalinda
Oct 31, 2020 04:08Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, jinai zinazofanywa na magenge ya kigaidi yaliyoundwa na kuungwa mkono na madola ya Magharibi, hazina uhusiano wowote na Mtume Muhammad SAW wala umma wa Kiislamu na amezitaka nchi za Magharibi ziache kuyalinda magenge hayo ya ukufurishaji.
-
UN: Inabidi utawala wa Kizayuni uchukuliwe hatua
Oct 31, 2020 04:07Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Palestina ameitaka jamii ya kimataifa iuchukulie hatua utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na jinai zake dhidi ya Wapalestina.
-
Rais wa Pakistan: Ulimwengu wa Kiislamu ukabiliane na kuvunjiwa heshima Mtume SAW kupitia asasi za kimataifa
Oct 30, 2020 23:08Rais Arif Alvi wa Pakistan amewataka viongozi wa Ulimwengu wa Kiislamu wasimame kwa ajili ya kulinda heshima ya Mtume SAW na kukabiliana na suala la kuvunjiwa heshima Bwana Mtume SAW kupitia asasi zote za kimataifa.
-
Jumuiya Maulamaa wa Palestina: Nchi za Kiislamu zivunje uhusiano wa kidiplomasia na Ufaransa
Oct 30, 2020 13:16Jumuiya ya Maulamaa na Wanatablighi wa Palestina imelaani matamshi ya kifidhuli aliyotoa rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ya kuunga mkono kitendo cha jarida la nchi hiyo la Charlie Hebdo cha kumvunjia heshima Bwana Mtume Muhammad SAW na kuzitolea mwito nchi za Kiislamu wa kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Ufaransa.
-
Mwakilishi wa Marekani: Kuanzisha uhusiano na Israel hakutazuia kumegwa Ufukwe wa Magharibi
Oct 30, 2020 13:03Mwakilishi wa rais wa Marekani wa masuala ya Mashariki ya Kati (Asia Magharibi) amesema mpango wa kumegwa sehemu ya eneo la Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan na kuunganishwa na Israel ungali uko pale pale.
-
Baada ya miaka 75, Sala ya kwanza ya Ijumaa yasaliwa katika msikiti wa Kariye nchini Uturuki
Oct 30, 2020 12:57Baada ya kupita miaka 75, Sala ya kwanza ya Ijumaa imesaliwa leo katika msikiti wa Kariye ulioko kwenye viunga vya mji wa Istanbul nchini Uturuki.
-
Mauaji ya kigaidi ya viongozi; mbinu ya Kizayuni inayotumiwa na Saudi Arabia nchini Yemen
Oct 30, 2020 03:57Wizara ya Mambo ya Ndani ya Yemen imetangaza kupitia taarifa kwamba mashirika ya ujasusi ya nchi zinazounda muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia ndiyo yaliyopanga mauaji ya kigaidi ya Hassan Muhammad Zaid, Waziri wa Michezo na Vijana wa serikali ya uokovu wa kitaifa ya Yemen.
-
Katibu Mkuu wa Ansarullah: Macron ni kikaragosi kinachochezeshwa na Wazayuni
Oct 29, 2020 23:01Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema rais Emmanuel Macron wa Ufaranmsa ni kikaragosi kinachochezeshwa na Wazayuni kichukue hatua za kuutusi na kuuvunjia heshima Uislamu.