-
Mwalimu Mpalestina mkazi wa Ghaza achaguliwa mwalimu bora duniani
Oct 24, 2020 23:07Bi Asma Mustafa, mwalimu wa kike wa shule ya wasichana ya "Halima al Saadiyah" ya kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza huko Paletina ameshinda tunzo ya mwalimu boda duniani mwaka huu wa 2020 ijulikanayo kwa jina la AKS Education Award.
-
Yemen: Kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni hakutadhoofisha mhimili wa muqawama
Oct 24, 2020 11:26Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali ya uokovu wa kitaifa ya Yemen amesema, hatua za wanaoamua kufanya mapatano na utawala wa Kizayuni zitashindwa tu na wala hazitadhoofisha msimamo wa mhimili wa muqawama.
-
Sudan yafuata mkumbo wa Imarati na Bahrain wa kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel
Oct 24, 2020 01:13Viongozi wa Marekani, Sudan na utawala haramu wa Israel wametangaza katika taarifa yao pamoja juu ya kufikiwa makubaliano baina ya Tel-Aviv na Khartoum ya kuanzisha uhusiano wa kawaida baina yao.
-
Hamas: Israel haiwezi kuvunja azma na mapambano ya Wapalestina
Oct 24, 2020 00:50Msemaji wa Harakati ya Mapambabno ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa lengo la mashambulizi ya mara kwa mara ua utawala haramu wa Israel dhidi ya eneo la Ukanda wa Gaza ni kuvunja azma ya mapambano ya taifa la Palestina lakini utawala huo utashindwa na kugonga mwamba.
-
Kurudi tena Saad Hariri; 'mwokozi' mkoroga jungu la migogoro ya ndani Lebanon
Oct 23, 2020 23:06Kwa mara nyingine tena, Saad Hariri amekuwa Waziri Mkuu wa Lebanon baada ya bunge kumpigia kura ya kuwa na imani naye.
-
Iraq: Baghdad inaunga mkono haki ya Wapalestina ya kujiamulia muskatabali wao
Oct 23, 2020 04:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amekanusha habari za uvumi zinazodai kuwa Baghdad inataka kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kuwa, taifa hilo linaunga mkono haki ya Wapalestina ya kujiamulia muskatabali wao wenyewe.
-
Madai ya kukaririwa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kinyume cha ukweli wa mambo
Oct 23, 2020 04:19Anwar Gargash Waziri Mshauri wa Mambo ya Nje katika Umoja wa Falme za Kiarabu ametuma ujumbe kupitia ukurasa wake wa Twitter na kudai kuwa, Iran inavuruga uthabiti katika eneo la Asia Magharibi.
-
Hariri ateuliwa tena kuwa Waziri Mkuu wa Lebanon, mwaka mmoja baada ya kujiuzulu
Oct 23, 2020 03:58Saad Hariri ameteuliwa tena kuwa Waziri Mkuu wa Lebanon na sasa ametakiwa kuunda serikali yake ya nne, mwaka mmoja baada ya kuachia ngazi.
-
Wazayuni waliofilisika kwa corona waongezeka kwa asilimia 40
Oct 22, 2020 08:51Kuenea maambukizi ya kirusi cha corona katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel, kumekuwa na madhara makubwa kwa uchumi wa utawala wa Kizayuni na sasa hivi Wazayuni waliofilisika kutokana na ugonjwa huo hatari wameongezeka kwa asilimia 40.
-
Kuendelea taharuki ya kisiasa Lebanon mwaka mmoja baada ya maandamano ya Oktoba 2019
Oct 22, 2020 04:46Oktoba 17, 2019 Lebanon ilianza kushuhudia maandamano ya wananchi ambayo yalipelekea kujiuzulu aliyekuwa waziri mkuu wa wakati huo Saad Hariri; lakini baada ya kupita mwaka mzima, hadi hivi sasa nchi hiyo ingali inahangaika kumpata waziri mkuu mwingine mpya, ambaye kama atatangazwa atakuwa ni wa nne katika kipindi hiki cha mwaka mmoja.