-
Kikao cha Baraza la Usalama la UN kuhusu usalama wa Ghuba ya Uajemi
Oct 21, 2020 08:48Eneo la Ghuba ya Uajemi ambalo ni miongoni mwa maeneo ya kistratijia ya dunia na yenye umuhimu mkubwa katika soko la kimataifa la masuala ya uchumi na nishati. Kwa kuzingatia uhakika huo usalama wa eneo hilo muhimu la majini daima umekuwa ukipewa mazingatio makubwa katika taasisi za Umoja wa Mataifa.
-
Indhari ya UN kuhusu hali mbaya ya Yemen na kuendelea jinai za Muungano wa Saudia kwa uungaji mkono wa Magharibi
Oct 21, 2020 02:48Mnamo mwezi Machi 2015, Saudi Arabia ikishirikiana na Imarati ilianzisha vita vya kidhalimu dhidi ya wananchi wa Yemen kupitia muungano wao wa pamoja wa kijeshi; na hadi sasa muungano huo vamizi umeshaua na kujeruhi makumi ya maelfu ya watu nchini humo.
-
Magaidi 5 wa Daesh watiwa mbaroni katika mkoa wa Salahuddin Iraq
Oct 20, 2020 08:41Askari jeshi wa Iraq wamewatia mbarono magaidi watano wa kundi la kitakfiri la Daesh katika oparesheni waliyoifanya katika mkoa wa Salahuddin nchini humo.
-
Umuhimu na malengo ya mabadiliko yaliyofanywa na Mfalme Salman katika Kamati ya Maulamaa na Baraza la Ushauri
Oct 20, 2020 04:51Mfalme Salman bin Abdul Aziz wa Saudi Arabia ametoa dikrii kadhaa akibadilisha wajumbe wa Kamati ya Maulama Wakubwa, Baraza la Ushauri na maafisa kadhaa wa mahakama za nchi hiyo.
-
Abdulmalik al-Houthi: Magharibi inawatumia wakufurishaji kuchafua sura ya Uislamu
Oct 19, 2020 23:04Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema Marekani, Ufaransa na nchi zingine za Magharibi ndio waungaji mkono wa mwanzo kabisa wa makundi ya ukufurishaji huko Syria, Yemen na katika nchi zingine za Kiislamu kwa sababu zinawatumia wakufurishaji hao kuchafua jina la dini tukufu ya Uislamu.
-
Jordan yasisitiza tena kuundwa nchi huru ya Palestina
Oct 19, 2020 23:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan ametaka ipatikane amani ya kweli na kiuadilifu itakayodhamini kuundwa nchi huru ya Palestina.
-
Waziri Mkuu wa Palestina: Inasikitisha kuona Wapalestina wanazuiwa kuswali Masjidul Aqsa huku Waimarati wakiruhusiwa kuingia eneo hilo
Oct 19, 2020 12:05Waziri Mkuu wa Palestina amesema kuwa kitendo cha kuruhusiwa ujumbe wa Imarati kuingia ndani ya Msikiti wa al Aqsa huku Wapalestina wakizuiwa kuswali katika msikiti huo, kinauma sana.
-
Maandamano ya watu wa Bahrain kupinga mapatano na utawala wa Israel
Oct 19, 2020 04:13Wananchi wenye hasira nchini Bahrain wameandamana kupinga safari ya ujumbe wa Marekani-Kizayuni katika nchi yao kwa lengo la kutangaza rasmi mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Bahrain na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wabahrain wataka iitishwe kura ya maoni kubatilisha hatua ya nchi yao kuanzisha uhusiano na Israel
Oct 18, 2020 11:38Harakati ya Kiislamu ya Al-Wifaq ya nchini Bahrain imetaka iitishwe kura ya maoni ya kubatilisha uamuzi wa utawala wa Aal Khalifa wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Maelfu waandamana tena kumshinikiza Benjamin Netanyahu ajiuzulu
Oct 18, 2020 04:49Maelfu ya wakazi wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) usiku wa kuamkia leo wamefanya maandamano makubwa huko Quds na miji mingine inayokaliwa kwa mabavu wakitaka kujiuzulu Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu.