-
Ammar Hakim: Iraq katu haitakuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel
Oct 18, 2020 04:46Sayyid Ammar Hakim, Kiongozi wa Mrengo wa Kitaifa wa al-Hikma wa Iraq amelaani vikali siasa za baadhi ya mataifa ya Kiarabu katika eneo la Asia Magharibi za kufanya mapatano na utawala haramu wa Israel na kusisitiza kwamba, nchi yake katu haitafanya mapatano na utawala huo ghasibu.
-
Uungaji mkono wa kisiasa wa watu wa Iraq kwa Harakati ya Hashdu sh-Sha'abi
Oct 18, 2020 03:11Hatua ya mwanachama mmoja wa chama cha Demokrasia cha Kusdistan KDP ya kuivunjia heshima Harakati ya Kujitolea ya Wananchi wa Iraq, Hashdu sh-Sha'abi, imekabiliwa na radiamali kali ya kisiasa ya wananchi hao ambao wameandamana na hata kuchoma moto ofisi ya chama hicho mjini Baghdad.
-
Serikali ya Yemen: Tunashikilia mateka maelfu ya mamluki wa Saudia na Sudan
Oct 18, 2020 00:55Kamati ya Taifa inayoshughulikia masuala ya matekani nchini Yemen imetangaza kuwa jeshi la nchi hiyo linawashikilia mateka maelfu ya askari mamluki na vibaraka raia wa Saudi Arabia na Sudan.
-
Kubadilishana mateka; hatua nzuri katika njia ya kutatua mgogoro wa Yemen
Oct 17, 2020 10:09Mapatano makubwa zaidi ya kubadilishana mateka kati ya Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen na serikali iliyojiuzulu ya nchi hiyo ya Abdrabbuh Mansur Hadi yametekelezwa, na kundi la kwanza la mateka wa jeshi la Yemen na harakati ya kujitolea za wananchi ya Ansarullah tayar limewasili katika uwanja wa ndege wa Sana'a.
-
Ayatullah Sistani: Ni haramu kuuza na kununua bidhaa za Israel
Oct 17, 2020 07:03Ayatullah Sayyid Ali Sistani, Marja'a mkubwa wa Waislamu wa Kishia nchini Iraq ametoa fatwa akisisitiza kwamba ni haramu kuuza na kununua bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
HAMAS: Njia pekee ya kukabiliana na uvamizi ni muqawama
Oct 17, 2020 04:20Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS sambamba na kukataa takwa la Marekani la kufanya mazungumzo amesema kuwa, njia pejkee ya kukabiliana na uvamizi nai muqawama na mapambano.
-
Yemen: Mateka wetu wamefikwa na mateso ya kila aina
Oct 17, 2020 00:59Mkuu wa timu ya mazungumzo ya serikali ya uokovu wa kitaifa ya Yemen amesema, ameshtushwa na simulizi za kuhuzunisha na kutia uchungu zilizosimuliwa na mateka wa nchi hiyo walioachiwa huru kutoka kwenye kifungo cha muungano vamizi wa kijeshi wa Saudi Arabia.
-
Watu wa Palestina wakusanyika kumuunga mkono mateka Maher al-Akhras
Oct 16, 2020 10:15Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza wamekusanyika leo kutangaza kumuunga mkono Maher Al Akhras, mateka Mpalestina anayeshikiliwa katika jela za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ukosoaji wa Afghanistan kwa kitendo cha kuhamishiwa Pakistan zana za kijeshi za Marekani
Oct 16, 2020 07:17Marekani imeanza kuondoa wanajeshi wake nchini Afghanistan na kutuma zana zake za kijeshi huko Pakistan.
-
Wabunge Waarabu wapinga uhusiano wa kawaida wa Imarati na Israel
Oct 15, 2020 23:08Muungano wa wabunge Waarabu katika bunge la utawala wa Kizayuni (Kneset) wamepinga makubaliano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya Israel na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).