-
Askari elfu 12 wa al Hashdul Shaabi wajitayarisha kusimamia maombolezo ya kifo cha Mtume Muhammad (saw), Iraq
Oct 15, 2020 07:58Harakati ya al Hashdul Shaabi ya Iraq imetangaza kuwa inatekeleza mpango wa usalama na kutoa huduma kwa maelfu ya Waislamu watakaoshiriki katika shughuli ya maombolezo na kukumbuka tukio chungu la kuaga dunia Mtume Muhammad (saw) utakaosimamiwa na askari elfu 12 wa harakati hiyo hususan katika mji mtakatifu wa Najaf.
-
Hamas: Imarati na Bahran ziipe Israel baadhi ya ardhi zao....
Oct 15, 2020 07:57Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kuwa kama watawala wa Imarati na Bahrain wanaliona suala la kuanzisha uhusiano na utawala ghasibu wa Israel ni jambo la kawaida basi watoe baadhi ya ardhi za nchi zao kwa utawala huo haramu.
-
Operesheni ya kubadilishana mateka wa vita yaanza Yemen, wamo Wamarekani, Wasaudia na Wasudani
Oct 15, 2020 07:36Operesheni ya kubadilishana mateka wa vita baina ya harakati ya Ansarullah ya Yemen na muungano vamizi wa Saudi Arabia imeanza kutekelezwa leo Alkhamisi kwa kuachiwa huru mamia ya mateka wa pande hizo mbili.
-
Mazungumzo ya Lebanon na Israel kuhusu mpaka; hitilafu za kimpaka na malengo ya kisiasa
Oct 15, 2020 06:40Duru ya kwanza ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya jumbe za mazungumzo za Lebanon na utawala haramu wa Israel ilifanyika jana Jumanne Oktoba 13 na yamepangwa kuendelea wiki mbili zijazo.
-
Imarati yasema Wapalestina hawana shukrani kwa kukosoa uhusiano na Israel
Oct 15, 2020 04:38Afisa mmoja wa ngazi za juu wa Umoja wa Falme za Kiarabu amewashutumu vikali wananchi wa Palestina na kudai kuwa hawana shukrani wala hawatambui fadhila, kutokana na hatua yao ya kupinga hatua ya Imarati ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Kushindwa Saudi Arabia kupata uanachama katika Baraza la Haki za Binadamu
Oct 15, 2020 04:37Jitihada za Saudi Arabia za kuwa mwanachama tena wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa zimegonga ukuta baada ya kushindwa kupata kura zinazohitajika.
-
Viongozi wawili wakuu wa Daesh watiwa mbaroni kaskazini mwa Iraq
Oct 15, 2020 00:55Vyombo vya usalama vya Iraq vimetangaza taarifa ya kutiwa mbaroni makamanda wawili wakuu wa kundi la kigaidi la Daesh katika mikoa ya Kirkuk na Salahuddin.
-
Bahrain yasema itawafunga jela wanaopinga uhusiano wake na Israel
Oct 14, 2020 04:31Utawala wa kifalme Bahrain umesema utawakamata na kuwafunga jela wale wote wanaopinga uhusiano wa nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Yemen: Marekani ni mama wa ugaidi na mtengenezaji wa migogoro
Oct 13, 2020 22:53Mkurugenzi wa Idara ya Baraza Kuu ya Siasa ya Yemen amesema kuwa Marekani ndio mama wa ugaidi na muanzishaji wa migogoro inayolisumbua taifa la Yemen.
-
Awamu ya pili ya ibada ya Umrah yaanza Saudia
Oct 13, 2020 08:50Wizara ya Hija na Umrah Saudia imetangaza kuwa watu 250,000 wataruhusiwa kushiriki katika awamu ya pili ya ibada ya Umrah ikiwa ni katika mpango wa kuanza hatua kwa hatua ibada hiyo.