-
Awamu ya pili ya ibada ya Umrah yaanza Saudia
Oct 13, 2020 08:50Wizara ya Hija na Umrah Saudia imetangaza kuwa watu 250,000 wataruhusiwa kushiriki katika awamu ya pili ya ibada ya Umrah ikiwa ni katika mpango wa kuanza hatua kwa hatua ibada hiyo.
-
Ismail Haniya: Historia haitawahurumia walioanzisha uhusiano na utawala wa Israel
Oct 13, 2020 08:12Ismail Haniya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema historia haitazihurumia hata kidogo nchi za Kiarabu kutokana na hatua ya kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel na mataifa nayo hayatasahau kitendo hicho.
-
Meli ya mizigo ya Imarati yatia nanga katika bandari ya Israel
Oct 13, 2020 04:31Meli ya mizigo ya Umoja wa Falme za Kiarabu imetia nanga katika mji wa bandari wa Haifa, katika maeneo ya Wapaestina yanayokaliwa kwka mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Palestina katika njia ya umoja na mshikamano wa ndani
Oct 12, 2020 23:09Baada ya baadhi ya nchi za Kiarabu kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel na kulitelekeza waziwazi taifa la Palestina, sasa hivi makundi ya Palestina yameelewa kuwa njia pekee ya kulinda uwepo wa taifa lao ni umoja na mshikamano.
-
Ansarullah: Muungano vamizi wa Saudia haufungamani na thamani za Waarabu za hata kabla ya Uislamu
Oct 12, 2020 04:01Muhammad Abdulsalam Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa nchi vamizi zilizoko katika muungano wa vita unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen mbali na kukanyaga thamani za kiakhlaqi na kidini hata haziheshimu pia thamani zile ambazo zilikuwa zikifuatwa na Waarabu kabla ya Uislamu.
-
Hali mbaya ya wafungwa wa Palestina ni matokeo ya Waarabu kuanzisha uhusiano na Israel
Oct 12, 2020 03:57Tawi la kijeshi la Harakati ya Wananchi kwa ajili ya Ukombozi wa Palestina limetoa kauli kufuatia kususia chakula mateka 30 Wapalestina wanaoshikiliwa na utawala wa Kizayuni wa Israel na kuuonya utawala huo kuwa iwapo mateka hao watakumbwa na madhara basi hilo litakuwa ni tangazo la vita.
-
Harakati ya Muqawama ya Iraq yatahadharisha kuhusu kuchelewa Marekani kuondoka nchini humo
Oct 11, 2020 23:39Msemaji wa Harakati ya Kataeb Hizbullah ya Iraq ameashiria ombi la Marekani la kusitishwa operesheni zinazolenga vikosi vya nchi hiyo na kusisitiza kuwa: Wanamapambano wa Iraq hawatakaa kimya hata kidogo mkabala na kuchelewa Washington kuondoa wanajeshi wake katika ardhi ya Iraq.
-
Ripoti: Wanawake na watoto zaidi ya elfu 13 wa Yemen ni wahanga wa mashambulizi ya Saudia
Oct 11, 2020 23:37Taasisi moja ya kutetea haki za binadamu nchini Yemen imetangaza kuwa wanawake na watoto zaidi ya elfu 13 wa Kiyemeni wameuawa katika mashambulizi ya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia nchini humo.
-
Marekani yaiba tena mafuta ya Syria na kuyapeleka Iraq
Oct 11, 2020 08:36Msafara wa malori 20 ya Marekani yaliyobeba mafuta ghafi yaliyoibwa kutoka visima vya mafuta vya Syria umeelekea nchini Iraq.
-
Matusi ya gazeti la Okaz la Saudi Arabia dhidi ya Wapalestina, ni zaidi ya kuvunja mwiko
Oct 11, 2020 07:51Gazeti la Saudi Arabia la Okaz limewatukana Wapalestina na harakati za mapambano za taifa hilo likisema kuwa ni "maadui wa Saudia".