-
Tahadhari kuhusu njama ya Wazyuni dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa
Oct 11, 2020 04:37Sheikh Ekrima Sa'id Sabri, Mkuu wa Baraza Kuu la Kiislamu katika mji wa Quds (Jerusalem) na khatibu katika Msikiti wa Al Aqsa mjini humo ametahadharisha kuhusu njama ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kutaka kutwaa sehemu ya msikiti huo ambao ni qibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Gazeti la Saudia lawatukana Wapalestina, ladai ni maadui wa Waarabu
Oct 11, 2020 00:45Gazeti la Okaz la Saudi Arabia limewatukana wananchi na makundi ya muqawama ya Palestina na kudai ni maadui wa Saudia.
-
NAM: Israel inapaswa kuondoka katika milima ya Golan
Oct 11, 2020 00:44Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM) imeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel uondoke katika ardhi za Syria za milima ya Golan unazozikalia kwa mabavu.
-
Israel yaingiwa na kiwewe kuhusu kuanza Intifadha mpya Palestina
Oct 10, 2020 08:46Mkuu wa Idara ya Utafiti katika Shirika la Ujasusi katika Jeshi la Utawala wa Kizayuni wa Israel (AMAN) amebainisha wasi wasi wake kuhusu kuanza Intifadha au mwamko mpya wa Wapalestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Saudia na Imarati ni wasababishaji wa moja ya hali mbaya zaidi ya maafa ya kibinadamu katika historia
Oct 10, 2020 04:46Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali ya uokovu wa kitaifa ya Yemen amesema, Saudi Arabia na Imarati ni wahusika na wasababishaji wakuu wa moja ya hali mbaya zaidi ya maafa ya kibinadamu katika historia.
-
Viongozi wa Hamas na Jihadul Islami waendeleza juhudi za kupatikana umoja wa kitaifa Palestina
Oct 09, 2020 22:59Viongozi wa harakati za muqawama za Hamas na Jihadul Islami za Palestina wamesisitiza juu ya umuhimu wa kupatikana umoja na mshikamano wa kitaifa baina ya Wapalestina.
-
Taathira hasi za kuendelea vita eneo la kusini mwa Kavkazia
Oct 08, 2020 23:06Kwa kuendelea mapigano baina ya Jamhuri ya Azeribaijan na Armenia, hivi sasa pande hasimu katika vita zimepanua wigo kutoka ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kuingia katika maeneo yenye umuhimu wa kiuchumi.
-
EU yaishurutisha Palestina kulipa kodi kwa Israel ili iendelee kuisaidia kifedha
Oct 08, 2020 10:35Umoja wa Ulaya umesema utaipatia Palestina msaada wa fedha kwa sharti la kulipa kodi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kwa nini wanaiogopa Siku ya Arubaini ya Imam Hussein AS?
Oct 08, 2020 08:23Siku kama ya leo miaka 1381 iliyopita kwa mujibu wa kalenda ya Kiislamu, ilifanyika majlisi ya kwanza ya siku ya Arubaini tangu kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW Imam Hussein bin Ali AS na watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume ambao waliuawa shahidi tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria.
-
Milioni ya Wairaq wafanya ziara ya Arubaini kuwawakisha Waislamu wenzao duniani
Oct 08, 2020 04:02Milioni ya Wairaq wamewasili katika Haram ya Imam Husain AS huko Karbala kuwawakilisha mamilioni ya wapenzi wa Watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume Muhammad SAW ambao mwaka huu wameshindwa kwenda Iraq kushiriki kumbukumbu hizo kutokana na corona.