-
Milioni ya Wairaq wafanya ziara ya Arubaini kuwawakisha Waislamu wenzao duniani
Oct 08, 2020 04:02Milioni ya Wairaq wamewasili katika Haram ya Imam Husain AS huko Karbala kuwawakilisha mamilioni ya wapenzi wa Watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume Muhammad SAW ambao mwaka huu wameshindwa kwenda Iraq kushiriki kumbukumbu hizo kutokana na corona.
-
'Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu umeandaa mazingira ya kufanyika vizuri Arubaini ya Imam Husain AS'
Oct 08, 2020 03:28Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon usiku wa kuamkia leo ametoa hotuba muhimu kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Husain AS na kusema kuwa, ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran umeleta mabadiliko makubwa katika eneo hili na umeandaa mazingira ya kufanyika kwa ufanisi mkubwa Arubaini ya Imam Husain AS.
-
Saudi Arabia, mnunuzi mkuu wa silaha Asia Magharibi
Oct 08, 2020 03:25Ripoti mpya iliyotolewa na serikali ya Uingereza inaonesha kuwa, nchi hiyo ilikuwa ya pili kwa kuuza silaha nyingi duniani mwaka uliopita huku mnunuzi mkuu wa silaha za Uingereza katika eneo la Asia Magharibi ukiwa ni utawala wa kiimla wa Saudi Arabia.
-
Leo ni siku ya kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Husain AS
Oct 07, 2020 23:08Leo Alkhamisi inasadifiana na mwezi 20 Mfunguo Tano Safar 1442 Hijria, siku ya kumbukumbu ya 40 ya mjukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW, Imam Husain AS ambaye pia ni Imam wa Tatu wa Waislamu wa Kishia. Imam Husain AS na wafuasi wake 72 waliuliwa kidhulma na kikatili katika jangwa la Karbala la Iraq ya leo kwenye mwaka wa 61 Hijria.
-
Harakati ya Fat'h ya Palestina yaamua kufuta mikataba yote na utawala wa Kizayuni
Oct 07, 2020 23:04Katibu wa Halmashauri Kuu ya Harakati ya Fat'h ya Palestina ametangaza uamuzi wa harakati hiyo wa kufuta makubaliano yake yote na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wananchi wengi wa nchi za Kiarabu hawataki uhusiano na Wazayuni
Oct 07, 2020 23:02Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa katika nchi zaidi ya 10 za Kiarabu unaonesha kuwa sehemu kubwa kupindukia ya wananchi wa nchi hizo hawataki uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Uenyekiti wa Arab League wageuka kiazi moto, Libya pia yaukataa
Oct 07, 2020 04:23Siku chache baada ya Qatar na Kuwait kukataa kuchukua uenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) badala ya Palestina ambayo nayo ilikataa uenyekiti huo, Libya pia imeamua kufuata mkumbo huo.
-
Mwanamfalme wa Saudia akerwa na Palestina kupinga uhusiano na Israel
Oct 07, 2020 01:16Mkuu wa zamani wa Idara ya Ujasusi ya Saudi Arabia amewakosoa vikali viongozi wa Palestina kwa kupinga hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu na Bahrain ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Mitazamo miwili kuhusiana na matukio ya usalama nchini Iraq
Oct 06, 2020 09:21Katika majuma ya hivi karibuni Iraq imeshuhudia mashambulio ya mara kwa mara dhidi ya ubalozi wa Marekani na vile vile mashambulio ya Washington dhidi ya ngome za Harakati ya Wananchi ya Hashd al-Shaabi.
-
Assad aikosoa Saudi Arabia kwa kushirikiana na magaidi nchini Syria
Oct 06, 2020 07:48Rais Bashar Assad wa Syria amesema kuwa misaada na himaya kubwa ya Saudi Arabia kwa makundi ya kigaidi ndiyo sababu kuu iliyoliwezesha kundi la kigaidi la Daesh kuteka na kukalia kwa mabavu maeneo ya nchi hiyo mwaka 2014.