-
Assad aikosoa Saudi Arabia kwa kushirikiana na magaidi nchini Syria
Oct 06, 2020 07:48Rais Bashar Assad wa Syria amesema kuwa misaada na himaya kubwa ya Saudi Arabia kwa makundi ya kigaidi ndiyo sababu kuu iliyoliwezesha kundi la kigaidi la Daesh kuteka na kukalia kwa mabavu maeneo ya nchi hiyo mwaka 2014.
-
Hamas: Waandishi wa habari wasiupe jukwaa utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 06, 2020 04:13Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amewakosoa waandishi wa habari hususan katika nchi za Kiarabu kwa kumpa waziri wa vita wa Israel jukwaa la kuhubiri siasa na sera za utawala huo haramu.
-
Russia yatahadharisha kuhusu hatua mbaya za Marekani huko Syria
Oct 06, 2020 03:56Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia ametahadharisha kuhusu maafa ya mienendo ya Marekani na Wakurdi wa Syria na kusisitiza ulazima wa kuzuia hatua yoyote inayotaka kuigawa ardhi ya nchi hiyo.
-
Amir mpya wa Kuwait: Msimamo wetu kuhusu kadhia ya Palestina uko thabiti
Oct 05, 2020 21:27Amir mpya wa Kuwait, Nawaf Al-Ahmad Al-Jaber Al-Sabah amesema kuwa, msimamo wa nchi yake kuhusiana na kadhia ya Palestina katika duru na majukwaa ya kimataifa uko thabiti na si wenye kubadilika.
-
Ujumbe wa kuhuishwa uhusiano wa kidiplomasia wa Oman na Syria
Oct 05, 2020 21:27Turki bin Mahmood al-Busaidy ambaye ameteuliwa kuwa balozi maalumu wa Oman nchini Syria siku ya Jumapili Oktoba 4 alikabidhi nyaraka zake za ubalozi kwa Walid Al Muallim, Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria.
-
Israel kuendelea kupora ardhi zaidi za Wapalestina
Oct 05, 2020 04:33Utawala wa Kizayuni umeamua kujenga maelfu ya nyumba za walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina unazoendelea kupora huko Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Sababu za kujiuzulu Waziri Mkuu wa Jordan
Oct 04, 2020 23:03Mfalme Abdullah wa Pili wa Jordan amekubali kujiuzulu kwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Omar al-Razzaz na kumuamuru kukaimu nafasi hiyo hadi litakapoundwa baraza jipya la mawaziri.
-
Saudia kupokea mahujaji wa ibada ya Umra mwezi mmoja ujao
Oct 03, 2020 23:16Serikali ya Saudi Arabia imetangaza kuwa itaanza kupokea mahujaji wa kigeni wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu kwa ajili ya ibada ya Umra mwezi mmoja ujao baada ya ibada hiyo kusitishwa kwa miezi 8.
-
Mamia ya wanajeshi wa Sudan wapelekwa Yemen kupitia Saudi Arabia
Oct 03, 2020 08:29Baadhi ya duru za Saudi Arabia zimeripoti kuwa, wiki iliyopita Sudan ilipeleka mamia ya wanajeshi wake huko Yemen kupitia Saudia.
-
Kuongezeka ukandamizaji wa Israel dhidi ya Wapalestina baada ya kusaini mapatano ya uhusiano rasmi na nchi za Kiarabu
Oct 03, 2020 06:45Ikiwa zimepita wiki mbili tangu kusainiwa mapatano ya kuanzisha uhusiano kamili wa kidiplomasia baina ya nchi za Imarati na Barain na utawala haramu wa Israel huko White House; utawala wa Kizayuni umezidisha uhalifu na vitendo vyake vya mabavu dhidi ya Wapalestina.