-
Ripoti: Hali ya mateka wa Kipalestina katika magereza ya Israel ni mbaya
Oct 03, 2020 04:19Kamati ya Masuala ya Mateka na Wapalestina Walioachiliwa Huru imetangaza kuwa, hali ya mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel ni mbaya mno.
-
Malengo ya Marekani ya kuwasilisha mpango wa kufunga ubalozi wake Baghdad
Oct 03, 2020 03:30Serikali ya Marekani imetangaza mpango wa kufunga ubalozi wake katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad kutokana na kuendelea mashambulizi ya maroketi dhidi ya ubalozi huo.
-
Palestina: Ujenzi wa vitongoji vya Wazayuni unaendelea Ukingo wa Magharibi
Oct 02, 2020 23:12Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni unaendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo ya Wapalestina ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, tofauti kabisa na madai ya Imarati na Bahrain ya kusimamishwa ujenzi wa vitongoji hivyo baada ya nchi hizo mbili za Kiarabu kutangaza uhusiano wa kawaida na Israel.
-
Amir Abdollahian: Magenge ya kigaidi katika eneo la Karabakh ni tishio kwa usalama
Oct 02, 2020 23:10Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Iran (yaani Bunge) katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, vita vinavyoendelea hivi sasa kwenye eneo la Nagorno-Karabakh vinaoensha kuwa magenge ya kigaidi yanayoshiriki kwenye vita hivyo ni tishio kwa usalama na amani ya eneo hili zima.
-
Watunisia waandamana kuonyesha uungaji mkono wao kwa Wapalestina
Oct 02, 2020 06:51Kwa mara nyingine tena wananchi na shakhsia mbalimbali wa Tunisia wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Tunis, kutangaza uungaji mkono wao kwa wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Kamati Kuu ya Fat-h yapitisha makubaliano yaliyofikiwa hivi karibuni baina ya harakati hiyo na HAMAS
Oct 02, 2020 04:09Kamati Kuu ya Harakati ya Fat-h imetangaza kuwa imepitisha makubaliano ambayo harakati hiyo ilifikia hivi karibuni na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS kuhusu mapatano ya kitaifa.
-
Iraq; mwaka mmoja baada ya maandamano ya Oktoba Mosi
Oct 02, 2020 04:03Oktoba Mosi mwaka uliopita, Iraq ilishuhudia maandamano makubwa ya watu yaliyogeuka na kuwa ya vurugu na hivyo kupelekea maelfu ya watu kuuawa na kujeruhiwa.
-
Faisal Mekdad: Askari wa Marekani wanapaswa kuondoka Syria
Oct 01, 2020 21:10Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Syria amesema kuwa magaidi ndio wenzo wa bei rahisi zaidi unaotumiwa na Marekani katika kanda ya magharibi mwa Asia na kwamba askari wa Marekani wanapaswa kuondoka katika ardhi ya Syria.
-
Mahakama ya Yemen yawahukumu kifo Trump na Bin Salman
Oct 01, 2020 04:29Mahakama ya Jinai katika mkoa wa Saada nchini Yemen imewahukumu kifo watu kumi wakiwemo Rais wa Marekani, Donald Trump na mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman kwa kuhusika na shambulizi lililolenga basi la wanafunzi na kuua makumi miongoni mwao mwaka 2018.
-
Imarati na Israel; upotoshaji mambo katika kivuli cha kuanzisha migogoro Asia Magharibi
Oct 01, 2020 03:56Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel wamelitumia jukwaa la kila mwaka la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kutoa tuhuma za kukakariwa na zisizo na jipya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.