-
Bin Salman aonana kwa siri ya ujumbe wa utawala wa Kizayuni
Sep 30, 2020 22:59Afisa mmoja wa shirika la kijasusi la Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ametangaza habari ya kufanyika mazungumzo ya siri baina ya mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman na ujumbe mmoja wa utawala wa Kizayuni.
-
Iran yatuma salamu za rambi rambi baada ya kuaga dunia Amir wa Kuwait
Sep 30, 2020 04:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kuaga dunia Sheikh Swabah al-Ahmad Jabir as-Swabah, Amir wa Kuwait.
-
Nasrallah: Lengo la kuuawa kigaidi Soleimani na Abu Mahdi Al Muhandis lilikuwa ni kuhuisha ISIS
Sep 30, 2020 03:33Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema magaidi wa Marekani walilenga kuhusisha kundi la kigaidi la ISIS walipowaua shahidi Luteni Jenerali Haj Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) na Abu Mahdi al Muhandis, Naibu Kamanda wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq (Hashd al Shaabi).
-
Sheikh Isa Qassim: Kuwa na uhusiano na Israel ni kujitenga na umma wa Kiislamu
Sep 30, 2020 03:29Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain Sheikh Isa Qassim amesema Marekani na Israel ni maadui nambari moja wa umma wa Kiislamu na kuongeza kuwa, kila ambaye ataungana na Israel, basi atakuwa amejitenga na umma wa Kiislamu.
-
Kuaga dunia Sheikh Swabah al-Ahmad as-Swabah; mwisho wa wapatanishi wakongwe Asia Magharibi
Sep 30, 2020 03:25Sheikh Swabah al-Ahmad Jabir as-Swabah, Amir wa Kuwait ambaye aliaga dunia hapo jana Jumanne tarehe 29 Septemba, alikuwa mpatanishi wa mwisho mkongwe katika eneo la Asia Magharibi.
-
Amir wa Kuwait, Sheikh Sabah (91) aaga dunia nchini Marekani
Sep 30, 2020 01:09Amir wa Kuwait, Sheikh Sabah al-Ahmad al-Jaber al-Sabah ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 91.
-
Umoja wa Mataifa umetaka kuwasilishwa katika mahakama ya ICC faili ya Yemen
Sep 29, 2020 23:37Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limelitaka Baraza la Usalama liwasilishe faili la Yemen katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Palestina; miongo miwili baada ya Intifadha ya Pili
Sep 29, 2020 09:43Jumatatu ya jana tarehe 28 Septemba, ilisafidiana na kutimia miaka 20 tangu kulipotokea Intifadha ya Pili inayojulikana kama Intifadha ya al-Aqswa.
-
Hamas: Mazungumzo na harakati ya Fat-h ni uwanja kwa ajili ya kufanyika mazungumzo ya kitaifa
Sep 29, 2020 09:02Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameyataja mazungumzo yaliyofanyika kati ya harakati hiyo na ile ya Fat-h kuwa ni uwanja muhimu sasa kwa ajili ya kufanyika mazungumzo mapana ya kitaifa.
-
Umoja wa Mataifa wataka kukomeshwa vita vya Yemen
Sep 29, 2020 06:02Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amepongeza hatua ya kubadilishana matekani baina ya serikali ya Sanaa na ile iliyojiuzulu nchini Yemen na kutoa wito wa kukomeshwa vita nchini humo.