-
Hamas: Mazungumzo na harakati ya Fat-h ni uwanja kwa ajili ya kufanyika mazungumzo ya kitaifa
Sep 29, 2020 09:02Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameyataja mazungumzo yaliyofanyika kati ya harakati hiyo na ile ya Fat-h kuwa ni uwanja muhimu sasa kwa ajili ya kufanyika mazungumzo mapana ya kitaifa.
-
Umoja wa Mataifa wataka kukomeshwa vita vya Yemen
Sep 29, 2020 06:02Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amepongeza hatua ya kubadilishana matekani baina ya serikali ya Sanaa na ile iliyojiuzulu nchini Yemen na kutoa wito wa kukomeshwa vita nchini humo.
-
UN: Israel imebomoa zaidi ya nyumba 500 za raia wa Wapalestina
Sep 29, 2020 03:30Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa zaidi ya nyumba mia tano za raia wa Palestina.
-
Bashar Jaafari: Syria, Iran na Russia zimepata mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya ugaidi
Sep 29, 2020 03:30Mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amezungumzia ushirikiano wa nchi yake, Iran na Russia katika mapambano dhidi ya ugaidi na kusema kuwa, nchi hizo tatu zimepata mafanikio makubwa katika vita vya kupambanai na ugaidi.
-
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu atakiwa ajiuzulu
Sep 28, 2020 23:57Katibu Mkuu wa Kamati ya Utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina PLO amelaani vikali matamshi aliyotoa hivi karibuni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu Ahmad Abul Ghaith kuhusu kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Sera za kuingilia kati za Macron nchini Lebanon
Sep 28, 2020 06:02Matukio ya Kisiasa ya hivi karibuni nchini Lebanon hususan baada ya mlipuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Beirut mwezi Agosti mwaka huu ambao umepelekea kujiuzulu serikali ya nchi hiyo yametayarisha mazingira ya uingiliaji wa nchi za Magharibi hususan Ufaransa na Marekani katika masuala ya ndani ya nchi hiyo
-
Mahmoud Abbas autaka Umoja wa Mataifa uilinde Palestina
Sep 28, 2020 04:01Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, kadhia ya Palestina ni mtihani mkubwa kwa Umoja wa Mataifa wa kuthibitisha heshima na itibari yake.
-
Afisa wa Fat-h: Nchi za Kiarabu hazitapata manufaa yoyote kwa kufanya mapatano na Israel
Sep 27, 2020 10:33Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Harakati ya Fat-h ya Palestina amesema, nchi za Kiarabu hazitapata manufaa yoyote kwa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Walioshambulia ubalozi wa Marekani mjini Baghdad ni mamluki wa Washington
Sep 27, 2020 10:18Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Nujabaa ya Iraq amesema, shambulio lililolenga maeneo jirani na ubalozi wa Marekani mjini Baghdad limefanywa na mamluki wa Marekani yenyewe.
-
Muqtada al-Sadr: Iraq si koloni la nchi ajinabi
Sep 27, 2020 04:27Kiongozi wa Harakati ya Al-Sadr ya nchini Iraq amesema Wairaqi hawataruhusu nchi yao igeuzwe koloni la nchi yoyote ajinabi.