-
Ngao ya makombora ya Syria yazima mashambulizi ya anga ya Israel
Sep 01, 2020 03:14Jeshi la Syria limetangaza kuwa, mfumo wake wa ulinzi wa anga umefanikiwa kutungua makombora ya utawala wa Kizayuni wa Israel kusini mwa mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiarabu, Damascus.
-
Kujiuzulu Mkuu wa Idara ya Bajeti na indhari kuhusiana na mgogoro wa kiuchumi huko Israel
Aug 31, 2020 21:53Shaul Meridor, Mkuu wa Idara ya Bajeti katika Wizara ya Hazina ya utawala haramu wa Israel amejiuzulu na kutahadharisha kuhusiana na kutokea mgogoro wa kiuchumi katika miaka ijayo huko Israel.
-
Netanyahu: Tunafanya mazungumzo ya siri na nchi nyingi za Kiarabu
Aug 31, 2020 08:11Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema Tel Aviv hivi sasa inafanya mazungumzo ya siri na viongozi wengine wengi wa nchi za Kiarabu, juu ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na nchi hizo.
-
Harakati ya Kiislamu ya Palestina yakosoa kuanzishwa uhusiano kati ya Imarati na utawala wa Kizayuni
Aug 31, 2020 02:18Naibu Mkuu wa harakati ya Kiislamu ya Palestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu amekosoa hatua ya Imarati ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na utawala wa Kizayuni na kusema: kile kinachotekelezwa na Imarati kwa uungaji mkono wa Saudi Arabia ni vita vya waziwazi dhidi ya imani ya Waislamu.
-
Al Houthi: Saudi Arabia na Imarati ni vinara wa unafiki
Aug 30, 2020 22:43Katibu Mkuu wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah amesema kuwa Saudi Arabia na Imarati ni vinara wa kambi ya unafiki.
-
Ismail Haniya: Azma ya muqawama Palestina ni kuhitimisha mzingiro dhidi ya Gaza
Aug 30, 2020 22:05Mkuu wa Idara ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, azama na irada ya taifa na muqawama wa Palestina ni kufanya hima kwa ajili ya kuhitimisha mzingiro wa kidhulma unaofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Nasrullah: Kuanzisha uhusiano na Israel ni huduma ya bwerere kwa Netanyahu na Trump
Aug 30, 2020 22:04Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amekosoa vikali hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel na kubainisha kuwa: Kitendo hicho cha Abu Dhabi ni huduma bila malipo kwa watawala wa Marekani na Israel wanaoadamwa na misukosuko ya kisiasa.
-
Kwa akali watu 160 wamefariki dunia kwa mafuriko na maporomoko ya udongo nchini Afghanistan
Aug 30, 2020 08:47Kwa akali watu 160 wamefariki dunia nchini Afghanistan na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia janga la mafuriko na maporonmoko ya udongo yaliyoikumba nchi hiyo katika siku za hivi karibuni.
-
Jeshi la Yemen lamtia mbaroni kamanda mwandamizi wa al-Qaeda
Aug 30, 2020 06:40Vikosi vya Yemen vimetangaza habari ya kumtia nguvuni kamanda wa ngazi ya juu wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiarabu, Sana'a.
-
Hujuma ya vyombo vya habari, stratijia muhimu zaidi ya kupiga vita kambi ya Muqawama
Aug 30, 2020 05:17Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema katika hotuba yake ya siku ya Ashura kwamba hujuma ya vyombo vya habari ndiyo stratijia ya sasa ya maadui dhidi ya wanamapambano ya ukombozi dhidi ya utawala haramu wa Israel na washirika wake.