-
Hujuma ya vyombo vya habari, stratijia muhimu zaidi ya kupiga vita kambi ya Muqawama
Aug 30, 2020 05:17Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema katika hotuba yake ya siku ya Ashura kwamba hujuma ya vyombo vya habari ndiyo stratijia ya sasa ya maadui dhidi ya wanamapambano ya ukombozi dhidi ya utawala haramu wa Israel na washirika wake.
-
Muqawama wa Palestina: Hizbullah ya Lebanon imegeuka jinamizi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 30, 2020 03:47Msemaji wa Kamati za Muqawama wa Palestina amesisitiza kuwa jibu lijalo ambalo harakati ya Hizbullah ya Lebanon imepanga kutoa kwa utawala wa Kizayuni wa Israel limegeuka kuwa jinamizi na kitisho kikubwa kwa utawala huo haramu.
-
Sheikh Issa Qassem: Wafuatao nyayo za Imam Hussein AS wanakabiliana na mtihani mkubwa
Aug 30, 2020 03:09Kiongozi wa juu wa kidini wa Waislamu wa madhehebu ya Shia wa nchini Bahrain amesema, kupambana na ufanyaji mapatano na Israel ni mfano mmojawapo wa mapambano ya Imam Hussein AS dhidi ya Yazid.
-
Imarati yazidi kuikumbatia Israel, yaruhusu ndege za utawala huo
Aug 29, 2020 19:28Umoja wa Falme za Kiarabu umebatilisha sheria ya kuususia utawala haramu wa Israel na adhabu ya kukiuka sheria hiyo iliyokuwa imepiga marufuku kufanya miamala yoyote ya kibiashara na kifedha na utawala huo wa Kizayuni.
-
Uturuki yaionya Imarati, yasema inacheza na moto, itakiona cha mtema kuni
Aug 29, 2020 19:23Mivutano baina ya Uturuki na Imarati sasa imetoka katika malumbano na vita vya maneno na vyombo vya habari kuhusiana na kadhia ya Libya na kuelekea kwenye mapigano ya kijeshi katika eneo la Bahari ya Mediterania.
-
Saeb Erekat: Kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel ni kumtunuku zawadi Netanyahu
Aug 29, 2020 05:58Katibu wa Kamati ya Utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesisitiza kuwa, hatua yoyote ile ya kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel maana yake ni kumpatia zawadi Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo ghasibu.
-
Umoja wa Mataifa: Njia pekee ya kuhitimishwa mgogoro wa Yemen ni kukomeshwa vita
Aug 29, 2020 05:31Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, kusitishwa mapigano na kupatikana amani ndio njia pekee ya kuikwamua Yemen na mgogoro inaokabiliwa nao.
-
Askari wa Saudia waingia katika kambi ya kijeshi ya Marekani nchini Syria
Aug 29, 2020 02:02Saudi Arabia imetuma makumi ya wanajeshi wake katika kambi ya kijeshi ya Marekani katika mkoa wenye utajiri wa mafuta wa Hasakah, huko kaskazini mashariki mwa Syria. Hayo yameripotiwa na kanali ya televisheni ya al-Mayadeen ya Lebanon.
-
Muungano wa Fat'h: Trump hana haki ya kuainisha wakati wa kubakia wanajeshi wa Marekani nchini Iraq
Aug 28, 2020 22:07Muungano wa al Fat'h katika Bunge la Iraq umetangaza kuwa Rais Donald Trump wa Marekani hana haki ya kuainisha wakati wa kuendelea kuwepo wanajehi wa nchi yake katika ardhi ya Iraq.
-
Haniyeh akosoa njama zinazofanywa na baadhi ya nchi za Kiarabu za kupatana na Israel
Aug 28, 2020 22:07Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amezikosoa baadhi ya nchi za Kiarabu kutokana na jitihada zao za kutaka kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel.